Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Status
Not open for further replies.
Hatimaye Profesa Lipumba aamua kubwaga manyanga.
Shime wanapenda Mageuzi Kesho mjitokeze kwa wingi saa nne asubuhi makao makuu ya CUF buguruni.
Kesho Lipumba ataeleza mbivu na mbichi za UKAWA.
Na Kisha atajivua uenyekiti na uanachama wa CUF.

Harafu anahamia Act wasariti?
 
Source? Gazeti la magamba Uhuru la leo.
Lakini ulisikia hotuba ya Maalim seif ktk mkutano wa Chadema kuhusu suala hilo hilo la uongo kabisa!!!!
 
Mwaka huu CCM mmebanwa kweli -- mtavalia chupi kichwani.
 
Hatimaye Profesa Lipumba aamua kubwaga manyanga.
Shime wanapenda Mageuzi Kesho mjitokeze kwa wingi saa nne asubuhi makao makuu ya CUF buguruni.
Kesho Lipumba ataeleza mbivu na mbichi za UKAWA.
Na Kisha atajivua uenyekiti na uanachama wa CUF.

Weka source, acha propaganda za Lumumba
 
Ni uongo maana katibu kasema hajapokea barua na alikuwa nae hadi saa nne usiku. Ni majungu tu.
 
Hatimaye Profesa Lipumba aamua kubwaga manyanga.
Shime wanapenda Mageuzi Kesho mjitokeze kwa wingi saa nne asubuhi makao makuu ya CUF buguruni.
Kesho Lipumba ataeleza mbivu na mbichi za UKAWA.
Na Kisha atajivua uenyekiti na uanachama wa CUF.

Alitakiwa kutoka kimya kimya kama Dr. Slaa badala ya kubwabwaja.
 
Wakati Mwenyekiti mwenza wa UKAWA James Mbatia akiudanganya umma kwamba Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba anashughulikia kesi yake mahakamani na huenda ndio sababu ya kutohudhuria mkutano wa leo, imebainika tayari Lipumba hayupo tena CUF.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya chama hicho zinasema, Lipumba amekusanya kila kitu kinachomuhusu kwenye ofisi za chama hicho na kuondoka. Inaelezwa, wakati anaondoka Lipumba alitoa maneno makali dhidi ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif na kumuita mhuni huku akisisitiza hawezi kufanya nae kazi.
Taarifa zaidi zinasema, Lipumba anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari wakati wowote kuanzia sasa kuelezea sakata hilo.
 
Hatimaye Profesa Lipumba aamua kubwaga manyanga.
Shime wanapenda Mageuzi Kesho mjitokeze kwa wingi saa nne asubuhi makao makuu ya CUF buguruni.
Kesho Lipumba ataeleza mbivu na mbichi za UKAWA.
Na Kisha atajivua uenyekiti na uanachama wa CUF.

wewe karama pambana na act yako, mambo ya ukawa huyawezi, yalishakushinda baada ya kuamua kuisaliti chadema ukamfuata zitto.
 
Mwanachama wa ACT analeta habari za gazeti uhuru..mtachanganyikiwa mwaka huu..Slaa haonekani Lipumba nae ..mtacheza mziki wa ukawa mpaka mtamsahau mgombea wenu..
 
Ningewashangaa sana WAISLAMU wangeunganga na MAFISADI chadema. Dini yao inakataza hata riba ktk mikopo.
 
Kama ni kweli basi ni rushwa hiyo imempitia kutoka magambani!!! Wananchi wakikosea wakairudisha CCM madarakni tena basi wajilaumu wenyewe!
 
Ngoja tusubiri lisemwalo lipo km halipo laja..
Hata lowasa kujiunga na cdm ilianza hivhiv
 
Lipumba ni MUISLAM safi. hawezi changamana na fisadi LOWASA.
 
Hatimaye Profesa Lipumba aamua kubwaga manyanga.
Shime wanapenda Mageuzi Kesho mjitokeze kwa wingi saa nne asubuhi makao makuu ya CUF buguruni.
Kesho Lipumba ataeleza mbivu na mbichi za UKAWA.
Na Kisha atajivua uenyekiti na uanachama wa CUF.

hatuamini stori yako mpaka iletwe na Lizaboni .
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom