Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Status
Not open for further replies.
Ya Dr.Slaa yalianza hivi hivi!!

Ila lipumba hawezi hata kujitoa!! Akomae atapata uwaziri wa fedha
 
Kwa sababu viongozi wa upinzani bei zao zinajulikana lolote linawezekana, huu ndio wakati wao kuchuma, sina shaka kama mgao wa mbowe ulikuwa mdogo kapata mgao wa maana sehemu alikuwa anatafuta sababu yakutoka tu
 
Lipumba ni MUISLAM safi. hawezi changamana na fisadi LOWASA.

Lipumba ndo aliitisha Press conference ya kumkaribisha Lowassa akiwa na Kina Mbowe na Mbatia. Leo Pia Maalim kasema alikuwa na Prof jana mpaka uck Mwingi wakiwa pamoja na Lowassa, taarifa hizi hazina ukweli. TUJIFUNZE kuwa Wakweli hata kwenye Siasa za Kampeni.
 
Pesa za ESCRO ndio kazi yake kwa wakati huu! Wananchi inabidi waamke. CCM isirudishwe madarakani kwa namna yoyote ile!
 
Thread kama hizi huwa zinatia kichefuchefu jamani,,mods mpo wapi mnaacha watu wanaweka habari za kijinga na za kupikwa hivi?
 
Ningewashangaa sana WAISLAMU wangeunganga na MAFISADI chadema. Dini yao inakataza hata riba ktk mikopo.

Acha kuleta dini kwenye siasa. Mafisadi walioimaliza nchi hii wote ni wakristo?
 
Wfanyakazi wa chama tawala wote tutawajua mwaka huu. CCM kwa kweli ni balaa
 
lisemwalo lipo kama halipo linakuja, tutajua tu mbivu na mbichi
 
Mbona alishajitoa cuf sikunyingi,Lipumba mwizi tu ndio maana alimuuzia kura kikwete
 
Pesa za ESCRO ndio kazi yake kwa wakati huu! Wananchi inabidi waamke. CCM isirudishwe madarakani kwa namna yoyote ile!

Mkakati ni kuunganisha nguvu vinginevyo ccm wamejiandaa hata kwa bao la mkono.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom