Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Status
Not open for further replies.
Ni vizuri lipumba akalifungulia mashtaka gazeti la uhuru halafu serikali ililifungia gazeti la mwanahalisi sasa gazeti la uhuru linasema uongo kila siku halichukuliwi hatua yoyote ya kisheria kwanini?
 
Ni ukweli kajihudhuru. Sasa ngoma inogile. Mi siipendi CCM ila kwa wabunge tu, urais Dr Magufuli. Nitachagua Mbuge wangu wa UKAWA!
 
Ni vizuri lipumba akalifungulia mashtaka gazeti la uhuru halafu serikali ililifungia gazeti la mwanahalisi sasa gazeti la uhuru linasema uongo kila siku halichukuliwi hatua yoyote ya kisheria kwanini?

Kwani hajajiuzulu? uongo upi lililoandika?
 
Aisee UKAWA wanatisha hadi gazeti la ccm linashindwa kuiweka habari kubwa kuwa ya Magufuli kuchukua fomu waanamua kuzidi kuipaisha ukawa
 
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg

Haiwezi kutokea hii
 
Gazeti la kufungia maandaz at work!!!

Akijiuzulu jua litachomoza magharib na kuzama mashariki.
 
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg

Cha kusikitisha hata CCM wenzako wameidharau hii habari kwani hawaiungi mkono wamesepa.
 
Tunatengeneza uongo usiounganika na ukweli. Kwani CUF wakijitoa na CHADEMA wakaaingia kwenye uchaguzi kama walivyo na huyo fisadi kwa nguvu zake unadhani atazuilika?
 
East African Eagle much respects mkuu, yaani umeweza kulisoma gazeti la Uhuru!! Hilo gazeti kwenye meza ya kuuza magazeti huwa wanapindua title inakuwa juu chini, na mara nyingi huwa wana display kurasa za michezo.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg

Uhuru ivi bado ipo.
 
Hii habari ya Prof. Lipumba kujiuzulu uenyekiti CUF ina ukweli wowote ndani yake?
 
Hili gazeti la ccm toka lini likatengeneza contractive kwa ajili ya upinzani
 
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg

Hiki Kikaratasi Cha Kuchambia Mwanangu Kwani Bado Kipo?
 
Subutu yao!. Kama hawajui nguvu ya mwenyekiti kwenye vyama vyetu wakawaulize 'afulila,Zitto na Hamad Rashid...watakuwa wamejifukuzisha uaanachama wenyewe
Wakati vyama vingine Mwenyekiti ndo mwenye nguvu, upande wa CUF Katibu Mkuu, anyway, sio Katibu Mkuu...kwa CUF Maalim Seif ndo ashikae makali! Huyu Lipumba kwa upande wa CUF ni mkimbizi tu!!! In short, wakati Maalimu Seif anao ubavu wa kumfurumusha Lipumba; kwa upande mwingine Lipumba hana ubavu wala uthubutu wa kumfurumusha Maalimu Seif! Hii CUF yenyewe ipo huku bara only because of Muungano... leo hii ukifa Muungano; kama ambavyo CHADEMA itakavyokufa natural death kule Zanzibar ndivyo CUF itakavyokufa natural death huku bara ingawaje itajitahidi tahidi kidogo isife kibudu kama itakavyokufa CHADEMA ZNZ!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom