Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Status
Not open for further replies.
Tai wa afrika mashariki; kama gamba kama kanjanja!!

Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg
 
Acheni utani jamani, huyu huyu Lipumba ninayemfahamu aache kugombea??
 
Naweza amini alichosema mtoa mada,ilikuwa tetesi kwa akina Slaa na wenzie kumbe imekuwa kweli(Raia mwema)
:teeth:.. Uhuru miaka 800,kwa habari za uhakika na ukweli.. Like it:sick::hippie::bowl:😛ainkiller::crying::glasses-nerdy:
 
Wakati vyama vingine Mwenyekiti ndo mwenye nguvu, upande wa CUF Katibu Mkuu, anyway, sio Katibu Mkuu...kwa CUF Maalim Seif ndo ashikae makali! Huyu Lipumba kwa upande wa CUF ni mkimbizi tu!!! In short, wakati Maalimu Seif anao ubavu wa kumfurumusha Lipumba; kwa upande mwingine Lipumba hana ubavu wala uthubutu wa kumfurumusha Maalimu Seif! Hii CUF yenyewe ipo huku bara only because of Muungano... leo hii ukifa Muungano; kama ambavyo CHADEMA itakavyokufa natural death kule Zanzibar ndivyo CUF itakavyokufa natural death huku bara ingawaje itajitahidi tahidi kidogo isife kibudu kama itakavyokufa CHADEMA ZNZ!

Mapalala anajua habari ya Maalim Seif
 
Siasa raha,wakikuzingua unasepa. Karibuni upinzani lakini si cdm ya mafisadi na matapeli. Ikichukua nchi CDM nahama nchi ili kuficha sura yangu mie. Napenda upinzani lakini sio cdm. Napita tu..
:bowl::sick::glasses-nerdy::bathbaby::crying:
 
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg

HiKI KIKARATASI CHA KUMCHAMBISHIA MWANANGU KUMBE BADO KIPO?
 
Wakati vyama vingine Mwenyekiti ndo mwenye nguvu, upande wa CUF Katibu Mkuu, anyway, sio Katibu Mkuu...kwa CUF Maalim Seif ndo ashikae makali! Huyu Lipumba kwa upande wa CUF ni mkimbizi tu!!! In short, wakati Maalimu Seif anao ubavu wa kumfurumusha Lipumba; kwa upande mwingine Lipumba hana ubavu wala uthubutu wa kumfurumusha Maalimu Seif! Hii CUF yenyewe ipo huku bara only because of Muungano... leo hii ukifa Muungano; kama ambavyo CHADEMA itakavyokufa natural death kule Zanzibar ndivyo CUF itakavyokufa natural death huku bara ingawaje itajitahidi tahidi kidogo isife kibudu kama itakavyokufa CHADEMA ZNZ!

Nani kakudanganya wewe,, CUF inawanachama wengi sana huku bara kuliko uifikiliavyo,,,, tena inawezekana wewe ni mgeni kwenye siasa za Bongo,, CUF ina wanachama tofauti sana na CDM,, CUF inawale wanachama kama wazee wa simba na yanga maana wanalishana mpaka yamini waulize CDM wanalifanyaga hili,, CUF hakuna wanachama maslahi kama vyama vingine.. Muungano hata ukivunjika huku CUF itaendelea kuwepo huku bara maana ndiko kwenye wanachama wake wengi kuliko visiwani...
 
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg
Muda umewaumbua mtoa habari na gazeti lenyewe
 
Haji Duni kashapitishwa kuwa mgombea mwenza wa Lowassa!! kazi mnayo - Muwe watulivu wakati dawa inawaingia.
 
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.

Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
uh1.jpg

Habari nyepesi kana kwamba imeandaliwa na mwanafunzi wa standard one.
 
Yan Lowasa nimemkubali ni Tishio! Yan CCM na vyombo vyake vya habari, wapambe woote wapovu tele midomoni. Kila kukicha Lowasa, lowasa! Nyie mnafikiri naharibu kumbe mnauza jina lake! Angalia Magufuli wenu hata magazeti hayamtaki kumwandika kwa sababu hayatauza.
 
Uhuru wazushi mwaka huu wataandika pumba tupu
Lowassa akipata urais sijui wataandika nin tena hawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom