Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,455
- 10,869
Tabutupu, nimesema humu kuwa Kitila ni Nguin per se! This is a technical department, inahitaji mwanasayansi, siyo mwanasiasa... political scientist!
Stop this nonsense..Hao wanasayansi ambao wamejazana serikalini wametufanyia nini mpaka sasa hivi? Last time I checked...most of key departments serikalini zimeshikiliwa na the so called wanasayansi. What have they got to show for it? Zaidi ya wao kulia lia njaa tuu na kujipendekeza kwa wakubwa.......
Agghhhhh......Post nyingine mpaka zinatia mpaka ukakasi kuzisoma!