Nilipitia juu juu wasifu wa Prof Kitila, alishawahi kuwa Mwenyekiti wa UDASA, Mkuu wa kitivo cha Elimu, mjumbe wa kamati ya chedema, mshauri wa chama cha ACT, nk.
Sijaona tofauti ya majukumu hayo hapo juu na nafasi aliyoteuliwa. Unless kwa mtizamo wenu mnataka/ mnadhani angepelekwa huko Wizara ya Elimu basi ataenda kushika chaki na huku Wizara ya maji na umwagiliaji hawezi kushika spana ya bomba au drill ya kuchimba visima.
Tulitakiwa kujiuliza/ kufahamu ni nini haswa majukumu ya msingi ya Katibu Mkuu wa Wizara.[/QUO
Thanks,
Katibu mkuu wa wizara ndiye mtendaji mkuu wa wizara. Sasa neno mtendaji hapa kama civil servant litasimama kama mtu aliyebobea katika eneo hilo. maana chini yake kuna makamishana, kuna wakurugenzi na wakuu wa idara. kwa civil service inabidi uanzie chini ukue ufike huko. ili uweze kushauri na kutoa maamumuzi ya kitalaaam . sasa ikitokea mkwamo wa maamuzi ya kitalaam katibu mkuu atakimbilia wapi? na je atamshauri vipi waziri ili hali mwenyewe hajabobea? ukatibu mkuu sio wiziri. ingawa ni za kiksiasa zaidi kwetu huku!! Hope rafiki umaneipata. fuatilia government stucture uone makatibu wakuu wawe watu wa aina gani.