Prof. Kitila Mkumbo, umeanza kwa kuchemka

Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Ndo utagundua kelele nyiingi siyo kuelewa, ni kukosa aibu tu! Naye atakapotumbuliwa, kuna watu watalalama sana!
 
Mimi ameniboa aliposema kuwa badala ya kuwa anaihoji Serikali sasa atazijibu hoja zinazoibana Serikali ipasavyo. Nilitegemea angesema atafanya kwa vitendo kuonesha utendaji makini katika kazi yake mpya.
HUJAELEWA NINI??
NI HIVI BADALA YA YEYE KUHOJI, SASA ATAJIBU MASWALI YA KWANINI HATUNA MAJI SAFI NA SALAMA??? KWANINI HATUNA KILIMO CHA UMWAGILIAJI BADALA YAKE TUNATEGEMEA MVUA??? KIPI KIGUMU HAPA! YA KUWA BADALA YA YEYE KIHOJI SASA ATATENDA NA AKITENDA ATAJIBU KULINGANA NA KAZI YAKE!
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Uelewa wako ni Tabutupu.
 
Ya umwagiliaji imewekwa kimakosa inapaswa iwekwe wizara ya kilimo ndo maana tunajichang'anya
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
ni kweli hata mimi nililiona hili nadhani tumpe muda na akae akijua kuwa watanzania wanahitaji maji safi kwa ajili ya matumizi yao na Mhe.Magufuli aliwaadi watanzania hasa wakina mama kuwa atawatua ndoo za maji kwa kuwafikishia huduma hiyo kwenye majumba yao...nadhani tumpe muda Kitila afanye kazi nadhani ile ya jana ilikuwa bado ni furaha kuu ya kuukwaa uPermanent Sectretary.
 
Prof. Kitila Mkumbo amesona PCB ila wakati anasoma education (yaani 2nd year wakati wa ku-specialize) ali-drop somo moja aka-major education ndo maana degree yake ya kwanza ni Bed (Science) na baadae aka-specialize kwenye Psychology. Hii ina-apply pia kwa Prof. Ndalichako aliprop chemistry akabaki na mathematics na ku-major education.
Kwahyo unamaanisha PCB yake ya A-Level ndo itamsaidia kuongoza wizara ya Maji?
Hebu jaribu kuongea facts kdogo
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Kilimo cha umwagiliaji ni kilimo cha uhakika ni kilimo kisicho tegemea mvua ( Kilimo ndiyo uti wa mgongo) Nadhani apewe muda
 
Ni katibu mkuu wa Wizara ya Maji na UMWAGILIAJI.

Kilimo cha umwagiliaji kipo chini yake siyo chini ya Wizara ya Kilimo.
 
Yaani ccm sijui wateuzi wao huwa wanawapa togwa la wapi kabla hawajatoa vipaumbele vyao hadharani,hata kama mtu alikuwa msomi vipi kile kitendo cha kupewa tu madaraka na wanaccm basi akili yote inamvurugika.
 
Kilimo cha umwagiliaji ni kilimo cha uhakika ni kilimo kisicho tegemea mvua ( Kilimo ndiyo uti wa mgongo) Nadhani apewe muda
Hilo linajulikana mkuu, swali hapa ni Je hicho ndio kipaumbele cha wizara ya maji?
 
Jamani uongozi ni coordination na hakuna jingine, sitaki kukubaliana kwamba tunataka Kitila akashike pipe rangers!
Kwanza Tushukuru ameweza hata kutamka "vision" yake ya umwagiliaji, inatakiwa sasa tusubiri/ tufuatilie tuone ni kwa namna gani atafikia hio ndoto yake kwa kipindi atakachokuwa hapo wizarani kama mratibu wa hio Wizara.
Mkuu hoja nzuri. Lakini nafikiri hapo kwenye bold font panahitaji marekebisho ni Pipe Wrench na uwingi ni pipe wrenches.
 
Kumbe humjui Prof Kitila Mkumbo. au hujui sayansi ni nini. Unajua huyu ni mtaalam wa Psychology? unafaham Psychology ni Sayansi? usiwe na haraka sana ku comment au ku conclude. uwe kabla hujaandika unawauliza wataalam kama sisi tunakuelezea.

Tabutupu, nimesema humu kuwa Kitila ni Nguin per se! This is a technical department, inahitaji mwanasayansi, siyo mwanasiasa... political scientist!
 
Aiseeee tena kwa msisitizo kilimo cha umagiliajo duu
 
Huo ni uongo, alichosema ni kuhakikisha Wizara yake inahakikisha uapatikanaji wa maji ambayo yatatumika ktk umwagiliaji ili kukuza kilimo badala ya kutegemea mvua, kwa maoni yake ndio itasaidia ikuaji wa viwanda
 
Kwa taarifa yako Wizara ya maji ndiyo wamiliki wa maji yote hapa nchini ,wizara ya kilimo haiwezi kuanzisha mradi wa umwagiliaji bila kibali cha wizara ya maji.
Halafu wizara yake inaitwa wizara ya maji na umwagiliaji unafikiri neno umwagiliaji limewekwa hapo kimakosa?
Hujakosea wala nini.... Hata hivyo mbona kipaumbele chake ni kizuri tu cha muhimu kilimo by the way kama unayojua ndo backbone of our economy kama wewew unataka maji nunua Uhai😉😉😉😉😉😉😛😛
 
Hilo linajulikana mkuu, swali hapa ni Je hicho ndio kipaumbele cha wizara ya maji?
Nanukuu umesema:Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati. jibu bila maji hawawezi kufanikiwa kutekeleza kilimo cha umwagiliaji. kumbuka wizara zinategemeana
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.

Kwenye Kilimo cha Umwagiliaji Wizara INA Sheria za namna ya kufanya kwenye kilimo hiki.Ila namna ya kuongea kachapia.
 
Siku zote hapo anakaa Engineer, hii nafasi ni ya kitaalamu sio kwamba kwakua Kitila ana uwezo ndio inampa nafasi ya kuwa hapo, hapo wameteleza.
Yani mfano unakua na Mganga mkuu au katibu mkuu wa wizara ya Afya ambaye si daktari,ni hatari
 
Back
Top Bottom