Prof. Kitila Mkumbo, umeanza kwa kuchemka

Prof. Kitila Mkumbo, umeanza kwa kuchemka

Usituadae wew mtu....kasema Tanzania ya viwanda ili itekelezeke lazima kilimo kipewe kipau mbele na hata hivyo hatuwezi tegemea mvua kwa asilimia kubwa kwan hazieleweki hvo ni vyema tuwe na kilimo cha umwagiliaji chenye uhakika...sasa hapo ni kipaumbel au ni maoni..kasema wapi kuwa ataanza na umwagiliaji...kipau mbele alichokisema ni kuwa takwimu zinaonyesha tatizo la maji ni kubwa katka jamiii hvo atahakikisha linatatulika kwa asilimia kubwa..na yey alikua mtu wa kuhoji serikali kwa sasa yeye tena sio wa kuhoji bali ni wakutoa majibu...

Watanzania tuache unafiki.
 
Kumbe humjui Prof Kitila Mkumbo. au hujui sayansi ni nini. Unajua huyu ni mtaalam wa Psychology? unafaham Psychology ni Sayansi? usiwe na haraka sana ku comment au ku conclude. uwe kabla hujaandika unawauliza wataalam kama sisi tunakuelezea.
Nashindwa kuunganisha dot kati ya Pv=nRT na social psychology! for example!
 
Mimi ameniboa aliposema kuwa badala ya kuwa anaihoji Serikali sasa atazijibu hoja zinazoibana Serikali ipasavyo. Nilitegemea angesema atafanya kwa vitendo kuonesha utendaji makini katika kazi yake mpya.
Kwani vitendo siyo majibu ya hoja...we vip
 
Nahisi hapa kuna deal, unaweza kuta ni fursa ya MTU kumtumbua MTU ili ilete imani fulani kwa wananchi...maana huyu prof na taaluma au utalaamu wa maji wapi na wapi! Nawaza tu
 
Lskini akikuta Sera nzuri ktk wizara, kazi iwe kureignforce hapo namwaminia Prof Kitila, kitaeleweka tu
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
TABUTUPU ULICHOFANYA WEWE NIKUBADILISHA LUGHA NA MSEMO TUU LAKINI DHUMUNI NI LILELE ALILOLILENGA PROF. KITILIYA ... SOME TIMES UNAWEZA KUDHANI UNAJUA NA UNAWEZA KILAKITU LABDA KWA ELIMU ULIYO NAYO AU MADARAKA AU KIPATO CHAKO BUT MY FRIEND YOUR VERY VERY VERY WRONG.... AND JUST FOOLING YOUR SELF...
 
Kwa taarifa yako Wizara ya maji ndiyo wamiliki wa maji yote hapa nchini ,wizara ya kilimo haiwezi kuanzisha mradi wa umwagiliaji bila kibali cha wizara ya maji.
Halafu wizara yake inaitwa wizara ya maji na umwagiliaji unafikiri neno umwagiliaji limewekwa hapo kimakosa?
Hata kukosha basi la mwendokasi ni umwagiliaji. Uwanja wa mpira nao unafanyiwa umwagiliaji. Ni sawa na meneja wa Tanesco kusema kipaumbele chake ni viwanda. Kilimo cha umwagiliaji ni jukumu la wizara ya kilimo, wizara ya maji jukumu lao kuhakikisha maji ya kumwagilia yanapatikana kwa wateja wao ambao ni wakulima. Sawa na Tanesco kusupply umeme kwenye viwanda.

Ikiwa alimaanisha atachukuwa jukumu la kuhakikisha maji yanapatikana kwa wateja wake, basi hakukosea. Ni sawa na Tanesco ku prioritize viwanda!
 
katibu mkuu anahitajika kuwa mtaalamu mkuu wa wizara husika. kisiasa katokea upinzani, hivo unaweza kuwa ni mkakati wa kumpa nafasi ambayo hajui abc zake, avurunde, ili ionekane ni udhaifu wa upinzani. ninao waonea huruma ni wakurugenzi waliopo kilimo na maji. je ni wadhaifu kiasi mkuu ameshindwa kuona utendaji wao mpaka kumteua mtu aje ndio afundishwe tofauti ya mfereji na mtaro?
 
HATA HICHO KILIMO CHA UMWAGILIAJI HAKIJUI!

OVA
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
ACHA UJINGA WW, KWANI WIZARA YAKE INAITWAJE,???
 
Napata shida sana nikiwaza akili na roho ya Mkuu...... umkandie bashaite tena kwenye vyombo vya habari kwa kuhojiwa kabisa kisha akupongeze kwa kukutunuku cheo chenye mjiVX?.... Basi iko siku shetani nae atageuka malaika
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.

inauma eeh!

wivu tu

sasa kosa lake ni nini?

weka hoja lakini sio et kachemka, dalili ya chuki mkuu
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
Mm nadhani aligusia kuhusu upatikanaji wa maji mjini na vijjn,akapigia msumari kuwa hiyo ndiyo kazi yake.
 
Yote kwa yote namwonea huruma Prof Mkumbo. Halafu sijui nani kamdanganya Mhe. kuwa maprof ni watendaji wazuri, wengi tumesoma vyuo vikuu, tunawafahamu vizuri hawa watu.
 
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
kijana jitahidi kuelewe ile umwagilia ina kazi gani kwenye wizara yake unadhani ni kumwangilia ndoo za maji .
 
Back
Top Bottom