MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,235
Sasa wewe mleta Uzi unapingana na katibu mkuu wa wizara?? We unadhani idara ya Sera na mipango (policy & planning department) kazi yake ni ipi huko wizarani....kwahiyo usichanganye mambo, yote yanawezekana. Go......go...go re professeri Kitila Mkumbo