Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

eba5c711b45cda450c0e51eab2bd4e04.jpg


Safi sana, CCM Oyeeeeee.
 
Siasa ni mchezo mchafu, Mkumbo sasa hivi yuko kwenye system, siku zote ukitaka kula vizuri lazima uwe kwenye system mazima.

Mama Anna Mghwira naye siku si nyingi atahamia CCM.

Sasa ndio karudi nyumbani. Nyingine zooote hizo zilikuwa ni mbwembwe. Sijui mara Chadema, mara ACT ni danganya toto tu. Kijani ndio rangi ya MKUMBO.
 
Hahahahahahahaha......mkuu hivi Kama angehamia Chadema au Chama chochote cha upinzani...ungeyaandika haya uliyoyaandika? Au ungekuwa na maoni tofauti?

Maana ume investigate, uka prosecute na kutoa hukumu!

..hivi civil servants ngazi ya Katibu Mkuu wanaruhusiwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa?

..au ni mambo gani wanaruhusiwa na yapi wanakatazwa ktk muktadha mzima wa shughuli za siasa.

NB.

..IMHO kwa kuzingatia background ya Prof.Mkumbo ktk siasa ingependeza kama angeteuliwa Unaibu Waziri, au Waziri, na siyo kumuingiza ktk civil service.

Cc Nzi, Pascal Mayalla
 
Ni kweli ni SACCOS za watu, ukileta fyoko unafungashiwa virago vyako. Ogopa chama kinacholamba matapishi yake ni hatari sana, wenye uelewa wanatafakari na kujiondoa haraka "MASHA".
Kwetu wakirud tunakuwa tumekata mikia ko hata akirud anajulikana tu. ..mana wanaondoka wenyew wanarud wenyew chama kubwa
 
Back
Top Bottom