Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Mtumishi wa UMMA ni kosa kuwa mwanachama wa chama fulani. Shame CCM
Hivi nyie wana jf mna shule kweli,kwanini mtumishi wa umma hasiwe mwanachama wa chama cha siasa,Kwa hiyo mwanachama ni wakulima na wafanyabiashara tu?
 
sheria haikatazi mtumishi kuwa mwanachama wa chama cha siasa. Ila inamkataza asijihusishe na masuala ya siasa mahala pa kazi.
mfano ,akitaka kugombea ubunge au nafasi yoyote ya kisiasa itabidi ajiuzulu au mpaka ashinde ndio anajiuzulu?
 
ACT iliundwa na CCM kwa wachukua mamluki wote waliowatuma kuvuruga chadema kuweka ushindan feki chini ya Zitto CCM wamefanikiwa kurejesha majimbo mengi kigoma
 
Hiyo sheria ilipitishwa na wabunge wa CCM yenu.
Watumishi pekee wasioruhusiwa ni watumishi kwenye majeshi ya ulinzi na usalama,hapo ndipo mnapochanganya.
Wanajeshi na askari na usalama wa taifa ndio hawaruhusiwi.
Ila walimu,madaktari,etc wanaruhusiwa
 
mfano ,akitaka kugombea ubunge au nafasi yoyote ya kisiasa itabidi ajiuzulu au mpaka ashinde ndio anajiuzulu?
Ukitaka kugombea nafasi ya uongozi katika vyama vya siasa katika kura za unaomba likizo, then ukishapitishwa kuwa mgombea wao rasmi wa kwenmda kushindana na vyama vingine ndo unatakiwa kuacha kazi. au ukichaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha siasa ndani ya chama pia unapaswa kuacha kazi. Ila kuwa mwanachama Watanzania wote wakulima na wafanyakazi wanaruhusiwa kuwa wanachama. Ndo maana katika ile benderra ya chama ambacho vijana wengi kwa sasa wanaichukia (CCM) kuna alama ya Nyundo na Jembe kuonesha kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi isipokuwa waliopo katika vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Hahahahahahahaha......mkuu hivi Kama angehamia Chadema au Chama chochote cha upinzani...ungeyaandika haya uliyoyaandika? Au ungekuwa na maoni tofauti?

Maana ume investigate, uka prosecute na kutoa hukumu!

Anayasema haya kwa kuwa huwezi kuwa msomi wa kiwango cha Kitila na unayependa haki halafu ukawa sehemu ya maCCM. It's really sad. Intellectual, by definition, ni mtu anayeuliza maswali magumu na huwezi kufanya hivyo ukiwa ni sehemu ya utawala dhalili wa maCCM. Ndio maana maelezo pekee yanayo make sense kuhusu alichofanya Kitila ni njaa - ameweka ubinafsi mbele na anataka awe sehemu ya kula.
 
Mwache tu aje, maana amepima, akaona nchi hii upinzani umepoteza welekeo.
 
Acheni wivu wa kijinga.Uvivu tu..na ninyi ingieni darasani mpate hizo PhD kama ni rahisi. Kwani walio CDM ndiyo njaa haiwaumi?mnainanga CCM sababu ya njaa zenu na si vinginevyo. Hamna guts za kuendeleza nchi.Eti CCM haijafanya kitu kwa miaka 50 ya uhuru..!Ingekuwa haijafanya kitu leo ww ungekuwa ktk keyboard unapost uchafu dhidi ya Chama ambacho kimekutoa matongotongo?
Haaahaaaa hawana guts umewajaribu?? ccm Imefanya nni nipe hata kimoja walichofanikiwa ndani ya miaka 50!!! Narudia tena Kma unafaham hta kitu kimoja walichofanikiwa ccm Kwa hii miaka 50 tuambie
 
Hiv ww ni mtanzania ama mhamiaji haramu? Au labda nikuulize..una umri gani na umesoma kiasi gani? Nauliza hivi sababu naona kama vile una faili Mirembe. Hebu nijibu hayo maswali ili nione namna ya kukujibu unapouliza nikutajie kilichofanyika.
 
Hahahahahahahaha......mkuu hivi Kama angehamia Chadema au Chama chochote cha upinzani...ungeyaandika haya uliyoyaandika? Au ungekuwa na maoni tofauti?

Maana ume investigate, uka prosecute na kutoa hukumu!

Anayasema haya kwa kuwa huwezi kuwa msomi wa kiwango cha Kitila na unayependa haki halafu ukawa sehemu ya maCCM. It's really sad. Intellectual by definition mtu anayeuliza maswali magumu na huwezi kufanya hivyo ukiwa ni sehemu ya utawala dhalili wa maCCM. Ndio maana maelezo pekee yanayo make sense kuhusu alichofanya Kitila ni njaa - ameweka ubinafsi mbele na anataka awe sehemu ya kula.
 
Kuna mtu aliyedhani Dr.Kabourou, Mwema, Lamwai,Cheri, Lipumba and the like watakuwa hivi walivyo leo? Wapo watu wa upinzani watabadilika na utashangaa.
 
Mie ktk maisha yangu nilikuwa nafikiri ma-prof ni watu wenye uelewa, misimamo iliyotukuka! nilipoona ya yule 'pro-pesa pumba nilichoka kabisa.
Kitila aliwahi kumwambia Magu kuwa 'asiwe anachagua ma-profesa kutoka vyuo vikuu kwani itadumaza elimu, ILA alipoteuliwa yeye kesho yake alionekana mwenge maduka ya wachaga akinunua suti ya kuapishwa! hapo ndio staki tena kumwita mtu profesa bora kuita jina lake tu liwalo na liwe!
 
Back
Top Bottom