Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

IMG-20171116-WA0100.jpg
 
Acheni wivu wa kijinga.Uvivu tu..na ninyi ingieni darasani mpate hizo PhD kama ni rahisi. Kwani walio CDM ndiyo njaa haiwaumi?mnainanga CCM sababu ya njaa zenu na si vinginevyo. Hamna guts za kuendeleza nchi.Eti CCM haijafanya kitu kwa miaka 50 ya uhuru..!Ingekuwa haijafanya kitu leo ww ungekuwa ktk keyboard unapost uchafu dhidi ya Chama ambacho kimekutoa matongotongo?
Mkuu wewe bwabwaja tu lakini NJAA haina mbabe hata uwe na degree 500!
 
Ki msingi Kitila Mkumbo hakuwahi kua nje ya CCM hata siku moja.

In fact anaonekana kama anarejea CCM ila ni baada ya kua upande wa pili "On Special Mission".

Sheria zetu haziruhusu kwa Mtumishi wa Umma kujihusisha na Siasa moja kwa moja na akaendelea kua Mtumishi wa Umma. Ila kwa huyu Jamaa ye aliruhusiwa sababu ya hiyo "Special Mission" yake ambae bahati mbaya wengine hawakuishtukia.

Serikali gani ingemfukuza Ualimu UD wakati Chama kinachoendesha hiyo serikali ndicho kilikua kikifaidika na kunufaika kwa "mission" zake alizokua akizifanya akiwa kwenye vyama vingine??
 
Nimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,

Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega
Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula
Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine
Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa
Shame On them

Hahahahahahahaha......mkuu hivi Kama angehamia Chadema au Chama chochote cha upinzani...ungeyaandika haya uliyoyaandika? Au ungekuwa na maoni tofauti?

Maana ume investigate, uka prosecute na kutoa hukumu!
 
Kama ni kweli tetesi hizi tunamkaribisha Prof akaikomboe Singida... Ile
 
Zitto arudi tu CHADEMA vinginevyo ajitose mzimamzima CCM ijulikane moja kwa moja kuwa naye ni sehemu ya Chama twawala.
 
Sidhani kama Zito alitambua kuwa amezungukwa na viongozi wa namna hii.

Mwenyekiti wa Chama na mgombea urais wa Chama, katibu wa Chama, na mshauri mkuu wa Chama.

Wawili Wamehama, mwingine yuko na nafasi ya kiserikali.
Hawa ndio ilikuwa nguzo kuu ACT na waasisi wake.

Sasa ni kama wamemtelekeza nadhani angejua hili bora hata angebaki CHADEMA.

Je hao waliobaki wamemuzunguka wako salama?
Alijenga chama juu ya tope
 
Back
Top Bottom