Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Safi sana, acha Zitto na genge lake wazidi kuisoma namba. Mpango wake wa kuvuruga upinzani umeanza kumrudi mwenyewe, safi sana.
 
Ndio Sheria inasema hivyo, unaweza kuwa mwanachama was chama chochote, isipokuwa kwa Askari yeyote haruhusiwi kuwa mwanachama was chama chochote mpaka atakapostaafu. Hivyo usiwe mbishi.
Ni kweli kabisa.Hata wakati Akiwa Chadema na ACT Alikua pia mtumishi wa Serekali.So hakuna Jipya alilofanya.
 
Haaahaaaa hawana guts umewajaribu?? ccm Imefanya nni nipe hata kimoja walichofanikiwa ndani ya miaka 50!!! Narudia tena Kma unafaham hta kitu kimoja walichofanikiwa ccm Kwa hii miaka 50 tuambie
Nadhani wewe ni junior hivyo huwezi elewa hata akapigiwa ngoma, hivyo baki hivyo hivyo.
 
Ndio Sheria inasema hivyo, unaweza kuwa mwanachama was chama chochote, isipokuwa kwa Askari yeyote haruhusiwi kuwa mwanachama was chama chochote mpaka atakapostaafu. Hivyo usiwe mbishi.
Wakuu wa mikoa wangapi ni wanajeshi? mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.
 
Wakuu wa mikoa wangapi ni wanajeshi? mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.
Hivi kwa utashi wako mdogo unadhani ukuu wa mkoa au WILAYA ni Kazi ya kikada wa chama, muwe mnasoma hata hiyo katiba mnayosema mbovu, hakina sehemu ilipotamkwa kuwa Mkuu wa Mkoa lazima awa kada chama tawala, Kama wanapeana kikada basi mapungufu tu ya watawala waliopo madarakani.
 
Tatizo mkia wako ni butu, uliza mkuu wa mkoa na wilaya kama siyo wajumbe wa kamati za siasa wilaya au mkoa, soma ilani ya CCM.
 
Tatizo mkia wako ni butu, uliza mkuu wa mkoa na wilaya kama siyo wajumbe wa kamati za siasa wilaya au mkoa, soma ilani ya CCM.
Nimesema hivi kasome katiba, usiangalie mapungufu chama fulani, halafu ukadhani ni Sheria. Halafu usifikiri kila anayehusika humu ili mradi akiwa against your opinion ukadhani ni chama tawala. Wengine tupo kwa ajili kuwaelimisha wapumbavu Kama nyie, ambao mnaweza watukana hata wazazi wenu.
 
Dingi yako, umesoma ilani ya CCM au unaropoka tu?
 
Nadhani wewe ni junior hivyo huwezi elewa hata akapigiwa ngoma, hivyo baki hivyo hivyo.
Jibu Swali sio unakimbilia mipasho je kipi mmefanya hata kimoja toka uhuru ambacho mnaweza mkajivunia zaidi ya miaka 50 watanzania wanaishi chini ya dollar 2 Kwa Cku 3!!!! Watanzania 65% Hawana maji safi na salama!! 40% Hawana umeme hasa vijijini alafu unakuja na ngonjera kibao shame on u Kma umeshindwa hoja kapige vigeregere kwenye mikutano ya polepole sio kutetea usivyovijua
 
Watumishi pekee wasioruhusiwa ni watumishi kwenye majeshi ya ulinzi na usalama,hapo ndipo mnapochanganya.
Wanajeshi na askari na usalama wa taifa ndio hawaruhusiwi.
Ila walimu,madaktari,etc wanaruhusiwa
mbona kuna kiongozi wa chama pendwa alikuwa jeshini wakati huo ana kadi ya chama
 
Letter Head ya hiyo barua imekaaje? Ofisi ya CCM Mkoa haina Post Office Box number? Fax number? E-mail? Phone Number? Vipi ile issue ya kichwa kimoja-kofia moja? Huyu ni Mbunge na mwenyekiti wa chama mkoa kama ilivyo kwa Msukuma wa Geita?
 
Nimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,

Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega.

Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula.

Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine. Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa.

Shame On them
Kamanda Kwan wewe ulitaka wafanyaje.. tupe ushauri Labda tutapanua mawazo
 
Tanzania kweli nchi ya hatua moja mbele hatua mbili nyuma. Zile kanuni zote za siasa na utumishi wa umma zilizotengenezwa enzi za Mwinyi zimepigwa chini. Katibu mkuu wa wizara ambaye ndio kiongozi wa watumishi wa umma wizarani atakujaje na campaign za chama kwenye ofisi za umma. Ningemwelewa kama angetangaza kwamba amejitoa ACT ili atumikie serikali vzr then huo uanachama wa ccm angeutafuta kimyakimya kivyake badala ya kututangazia majukwaani hbr za uanachama wake. Tunataka profesa tumwone katika matunda atakayo toa baada ya kuwa mtendaji katika wizara ya maji. Asijibaraguze kwa kujificha kwenye chama tawala kwa matangazo makubwa ya uanachama ili kuficha udhaifu wake katka ku-deliver, maana siku hizi watu wanaficha weakness zao ktk utendaji kwa Ukada. Mtu kama Mkumbo ambaye ni profesa angetuonyesha tofauti yake na waliokuwepo kwa jinsi atakavyokuwa anatoa matokeo chanya ktk hiyo wizara badala ya kukaa ofisini na kufikiria kuji-show up kwamba ni ccm. Aliye mteua nadhani alijikita zaidi kwenye content ya Prof kuliko appearence yake ndio maana hakuangalia yuko chama gani sidhani kama alikosa makada wa ccm wa kifit katika nafasi hiyo.
 
Nimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,

Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega.

Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula.

Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine. Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa.

Shame On them

today you have made my day.... kila siku nasema tatizo ni elimu yetu MBOVU watu wanavyeti kibao AKILI ZERO .. waliokuwa na vyeti ni wajinga kuliko wasio na vyeti........ELIMU SIO NA KATIBA PIA.. ninamsuport JPM kwa hili atusaidie
 
81f475e2481ed3a9d5bcd2bbfdedb238.jpg

Majibu tafadhali
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom