Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Wacha alambe matapishi yake. Awamu ya magu ikiisha ndio atajua nyekundu sio nyeusi karibu uraiani!
 
Tanzania kweli nchi ya hatua moja mbele hatua mbili nyuma. Zile kanuni zote za siasa na utumishi wa umma zilizotengenezwa enzi za Mwinyi zimepigwa chini. Katibu mkuu wa wizara ambaye ndio kiongozi wa watumishi wa umma wizarani atakujaje na campaign za chama kwenye ofisi za umma. Ningemwelewa kama angetangaza kwamba amejitoa ACT ili atumikie serikali vzr then huo uanachama wa ccm angeutafuta kimyakimya kivyake badala ya kututangazia majukwaani hbr za uanachama wake. Tunataka profesa tumwone katika matunda atakayo toa baada ya kuwa mtendaji katika wizara ya maji. Asijibaraguze kwa kujificha kwenye chama tawala kwa matangazo makubwa ya uanachama ili kuficha udhaifu wake katka ku-deliver, maana siku hizi watu wanaficha weakness zao ktk utendaji kwa Ukada. Mtu kama Mkumbo ambaye ni profesa angetuonyesha tofauti yake na waliokuwepo kwa jinsi atakavyokuwa anatoa matokeo chanya ktk hiyo wizara badala ya kukaa ofisini na kufikiria kuji-show up kwamba ni ccm. Aliye mteua nadhani alijikita zaidi kwenye content ya Prof kuliko appearence yake ndio maana hakuangalia yuko chama gani sidhani kama alikosa makada wa ccm wa kifit katika nafasi hiyo.
Mkuu yani kungekuwa na sehemu ya kurepost, kwa kweli hii comment yako ningerepost hata mara 900 na ingependeza zaidi!
Prof. Njaa imehamia kichwani..!
 
hivi katibu mkuu au mfanyakazi wa serikali anaruhusiwa kujionyesha au kukiri hadharani yeye ni mwanachama wa chama cha siasa?
 
Pole Zitto
 

Attachments

  • 20171117_204143.png
    20171117_204143.png
    68.4 KB · Views: 38
Nimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,

Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega.

Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula.

Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine. Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa.

Shame On them
Sugu alishasema "wanamaliza miti",akirejelea Prof moja
 
Back
Top Bottom