Ataruhusiwa kugombea uenyekiti taifa huko chadema?!Zitto ahame tu ahamie chadema
Ataruhusiwa kugombea uenyekiti taifa huko chadema?!Zitto ahame tu ahamie chadema
Uenyekiti ni wa mbowe tu..!!Ataruhusiwa kugombea uenyekiti taifa huko chadema?!
Huyu Martha naye hana akili. Mipasho ya kupoteza mwanafunzi na kupokea mwalimu ilikuwa na umuhimu gani?! Hicho cheo kimemzidi uwezo.Martha mlata yupi???
Hata wewe una njaa, leo itokee Rais akuteue ukuu was wilaya upo tayari kubadili mwelekeo tusidanganye. Kila mtu hapa duniani yupo kwanza kwa maslahi binafsi kwa kati 50% hadi 75%, halafu maslahi ya wengine.Nimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,
Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega.
Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula.
Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine. Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa.
Shame On them
What about baregu?!...
Serikali gani ingemfukuza Ualimu UD wakati Chama kinachoendesha hiyo serikali ndicho kilikua kikifaidika na kunufaika kwa "mission" zake alizokua akizifanya akiwa kwenye vyama vingine??
Huyu hawezi kugombea kwa Nyalandu,, akijidai kuweka jina huko Wanyaturu watapigia hata jiwe kuliko jimbo lichukuliwe na Mnyiramba!!Jimbo aliloachia nyarandu linaviziwa nn?


[/QUOTE]Ndo maana alikatishwa mkataba wake baada ya kua siriaz upinzanWhat about baregu?!
Ni kweli ni SACCOS za watu, ukileta fyoko unafungashiwa virago vyako. Ogopa chama kinacholamba matapishi yake ni hatari sana, wenye uelewa wanatafakari na kujiondoa haraka "MASHA".CCM naona kila siku inapokea watu na akili zao ambao wameamua kuachana na SACCOS zile
Usipotoshe. Baregu kaanza active politics immediately baada ya vyama vingi kuanza.Ndo maana alikatishwa mkataba wake baada ya kua siriaz upinzan
Rudia kusoma ulichoandika epuka madhara ya kuchangia ukiwa tumbo waziAcheni wivu wa kijinga.Uvivu tu..na ninyi ingieni darasani mpate hizo PhD kama ni rahisi. Kwani walio CDM ndiyo njaa haiwaumi?mnainanga CCM sababu ya njaa zenu na si vinginevyo. Hamna guts za kuendeleza nchi.Eti CCM haijafanya kitu kwa miaka 50 ya uhuru..!Ingekuwa haijafanya kitu leo ww ungekuwa ktk keyboard unapost uchafu dhidi ya Chama ambacho kimekutoa matongotongo?