Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Ni ushauri mzuri na atakayempinga anamatatizo ya akili
Nafikiri atakayemuunga mkono ndiye mwenye matatizo ya akili, kwa sababu leo Rais amemteua huyo Kitila Mkumbo na amekubali uteuzi kinyume na msimamo wake.. Haipendezi kumuita mnafiki.
 
Kwamba ni kosa kubwa kwa wabunge wa ccm kwenda kumwona mh,lema mahabusu kwasababu mh, lema ni mpinzani, hili likawa kosa la usaliti kwa chama. Ikiwa kwa ccm ilieleweka je hili laa kitila kuwa katibu mkuu si ndo baya zaidi kwa wanaccm maana mwenyekiti asishatanabaisha mahusiano yanayvopaswa kuwa kati ya wapinzani na wanaccm?

Kwako kitila, leo tunaweza kuwa tunaongelea kuingia kwako wizarani lakina hakika siku zaja tutakapongelea kutoka kwako wizarani vyovyote vile itavyokuwa hutrudi DUCE na hapo historia mpya kwako itakua inaanza upya.

Najiuliza ugumu uko wapi msomi kuyaishi mawazo yake, what went wrong my friend? abbyssuss abyssum invocat
 


Acha wivu wa like!
 
Hivi kweli huna aibu unatuletea habari ya gazeti hili na kutaka tuamini habari hii. Hili si kama yale magazeti fake ya Mwanahalisi kama ya udaku tuu yaliyokuwa yanatutajia mafisadi, kumbe mwishowe inaonekana eti siyo mafisadi. Hao hao wamewasafisha. Kamanda ondoa takataka hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…