Nakushauri ungejikita kwenye fani yako ya udaku kipaji chako ndiyo kipo huko siasa hauwezi, mtafute Shigongo.Salma hajaambatana nae safari hii. Naona Mkulu anaenda kukamilisha 'zamu'. Si kule Marekani kuna mtoto wa ASAS?
CC: Pasco
Umeniacha gizani!, bado sijaelewa elewa hapa unamaanisha nini?!Salma hajaambatana nae safari hii. Naona Mkulu anaenda kukamilisha 'zamu'. Si kule Marekani kuna mtoto wa ASAS?
CC: Pasco
Bawacha mnawaza umbea tu mda wote.huyu rais si bure!
Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Zinapotea ndege zilizobeba watu wema na wenye manufaa then wanazopanda akina kikwete hazipotei dah
Pro-Chadema bana wanachekesha sana rais wao waliomchagua ni Slaa siyo JK, lakini wale wote waliomchagua JK wapo pamoja na rais wao, pro-Chadema endeleeni na drama zenu.
du,halafu wote hao first class
Chadema rais wao wanasema mtei mbona mnahangaika na jk wakati mnasema rais wenu mtei?
Mtakumbuka mwaka jana Mida kama hii alikuja kwa Safari iliyoitwa ya mapumziko na kucheck afya yake, na mwaka huu tena katika tarehe Zile Zile anakuja bila kubainisha anachokuja kufanya, kwa ufupi nyakati hizi ndio ambazo ibada za kifreemason huchanganya !!! Na ibada hizo huzidi baada ya sherehe kubwa ya kipagani(kishetani) ya Halloween kuwa imesherekewa ijumaa iliyopita, hivyo kuufanya mwezi mzima kuwa wa makafara na waabudu shetani kushika kasi