natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
Safari za Kikwete zimesababisha Uchumi wa Taifa umepaa.
Yaah na kumbuka wakati anaingia madarakani 2005 ulikuwa eapoti kwenye runway unapiga jaramba tayari kwa kupaa. Umepaa mpaka wapi mkuu? tujulishe!!