Prof. Kikwete aenda Marekani

Prof. Kikwete aenda Marekani

Acheni uongo kikwete yupo dar na kesho atawaaposha wakuu wa mikoa
 
Huyu Kikwete ndivyo alivyo kwa hiyo hata tukilalamika vp huyu jamaa haelewi, cha mcngi ni kujipanga kutoa adhabu kali kuanzia mwaka huu na mwakani.
 
Kumbuka wakuu wa mikoa hawaapishi pamoja na makatibu alafu kikwete jmosi anaanza ziara mkoani mbeyaa unajua tusiendekeze ujinga tukaacha mambo ya mcng yanayolikumba taifa kila kukicha kufatilia ziara hzo sio siasa.
 
Siku hizi haitwi tena Dkt?

Halafu hilo dali hapo juu kwenye picha ya kwanza niaje?

Anaenda Marekani kufanya nini? Kuhudhuria tamasha la Jay Z, Beyonce, na Blue Ivy?
Hilo dari linahakisi use wa airport yetu ya Julius Nyerere!
 
Khaaa aise sasa hii too much jamani huyu rais anakwenda marekani tena kufanya nini Si ametoka juzi Tu kabla ya kwenda uchina? Inabidi tuelezwe kwa sababu anatumia kodi zetu tena nasikia atakaa siku ishirini. Jamani watanzania tumevumilia mengi hivi kwanini huyu ------ anatutesa hivi?
 
Mbona kuna vyama tangu vmepewa ubunge hawajawahi kukaa majimboni n kuzungukazunguka mikoani kwenye maandamano mbona hatulalamiki jamani hiii nchi tutaiua ss wenyewe kwa kujifanya tunajua siasa kuzidi marekani maana imekuwa kero kila kukicha kulalama tu bila kutoa solution
 
Yani huyu jamaa ingetokea akafa ghalfa!! Muda huo huo niliopata taarifa ningerudia kunywa pombe tu kama zamani.
 
Kumbuka wakuu wa mikoa hawaapishi pamoja na makatibu alafu kikwete jmosi anaanza ziara mkoani mbeyaa unajua tusiendekeze ujinga tukaacha mambo ya mcng yanayolikumba taifa kila kukicha kufatilia ziara hzo sio siasa.

Kwa hiyo hizi picha alikuwa anauza sura hapo Airport then akarudi magogoni au. F.ala we
 
Cha kustaajabisha uzi niliouanzisha kuhusu safari ya professor wa kusafiri umefungwa!!!! 😛hoto:
 
Mbona unatukana matusi?au hii post ulitaka wasicomment but niliishaijua akili tangu muda but nimekusamehee mm sipo hapa kutukana na sipend watu wavuta bangi wala waleviii viloba
 
Bora amalizie mda wake huko arudi 2015 kuja kuvunja baraza la mawaziri na bunge hapo octeber.
 
Makamu wa rais yuko wapi kumsindikiza? Halafu hiyo picha ya kwanza mbona kama dari hapo alipo limefumuka na linaweza kumdondokea. Hata hivyo nakutakia safairi njema Profesa wangu unajiendea nyumbani kwako halafu watu wanalalamika. Wanataka uende Somalia au Syria? Siku moja moja unistue nikusindikize mkuu wangu. Ila wife simuoni utakuwa na nani muda wote huko marahani?!
 
Back
Top Bottom