Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
ana haki kuutamani urais sababu kazi yake inafanywa na bosi asipokuwa tajiri membe basi na yeye ni mzembe. Sababu muda wa kupiga mishe zake anao mwingi sana
Hebu fukunyua uje utupe mrejesho kakaBohemian grove ilishapita tayari.Ngoja nidodose nini kinaendelea mwezi huu.
halafa camera nazo zimeshindwa hata kuficha kidogo?
-Nikiongelea mazuri ya China tutakesha sababu kila tunaloomba wanasema sawa. Profesa JK, Dodoma November 4, 2014
Mkuu wewe hupendi tukaombewe misaada?Ebu nitajie hata nchi moja yenye maendeleo kwa ziara za Rais?
Unadhani Mungu na Malaika ni wa mchezo
Yani huyu jamaa ingetokea akafa ghalfa!! Muda huo huo niliopata taarifa ningerudia kunywa pombe tu kama zamani.
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meneja wa Emirates katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014
PICHA NA IKULU
mwombe mungu akuondolee chuki za kijingaNi kama Mungu ametuadhibu kutuletea huyu VDG...!
Sijui hii adhabu tutaacha kuitumikia lini ee Mungu tusamehe tulikosea
Siku hizi haitwi tena Dkt?
Halafu hilo dali hapo juu kwenye picha ya kwanza niaje?
Anaenda Marekani kufanya nini? Kuhudhuria tamasha la Jay Z, Beyonce, na Blue Ivy?
Kuchunguzwa afya.