Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Majalala sijui kabobea eneo lipi la sheria.
Lakini tusimlaumu sana. Mawaziri lazima waseme kila ambacho Jiwe anataka kusikia.
Hivi yule Engineer wa lift bado yupo kazini?
Huyo ni profesa wa sheria za mirathi na ndoa - Family Law. Specialization inayodharaulika sana. Hii inasomwa mara nyingi na low brains.
 
Back
Top Bottom