Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Kitu ambacho nimejifunza kwa hawa wasaidizi wa mh rais, ni kwamba wamekaa na mh na wakamuelewa kitu anachopenda kukisikia na ndicho wanachompa regardless of its impact, na mh rais akiendelea namna hii atapotoshwa sana kwenye mambo ya msingi na mwisho ataiweka nchi hii mahali pabaya sana kiasi kwamba rais ajaye atakuwa na kibarua kigumu sana, ukitaka kuelewa mentality ya mh rais wetu tizama conversation yake na yule engineer juzi kwenye issue ya public buildings kuwa na lift, alipozidiwa kwa hoja akaamuru kwa mkuu wa jkt kuwa akiona jamaa anawachelewesha kwa specifications zake awekwe ndani na kazi iendelee, hivyo ndio namna mkuu wetu alivyo na wasaidizi wake wameshamuelewa na wanampa ushauri anaopenda kuusikia, lazima mkuu aruhusu na upande asiopenda kuusikia.
 
G Sam,

Ndege iliposhikiliwa South Africa mlituaminisha kuwa tunaenda kushindwa kwenye Kesi maana mahakama na majaji wa South Africa si
Kama mahakama na majaji
Wa hapa kwetu nyumbani.Yale yote yaliyo tokea katika kesi hiyo sitaki kuyarudia kila mtu ni shahid.sasa mnakuja na hoja na Jumuiya ya Madola utadhani South Africa isn't a member wa Commonwealth.subiri mkulima atapigwa tena kwa nock out na atakuwa mvuvi na sijui mtasemaje? au mtamshauri akafungue kesi tena UN
Mkuu swala la kujiuliza n kuwa huyu mkulima anapata wapi nguvu za za kwenda mahakamani na kusikilizwa kama kesi anashindwa.
 
Sio kweli serekali ilienda south afrika kukomboa ndege na sio kushinda kesi

Ndo maana walisema ndege inatumiwa na rais
Bado unapotosha. Hao wanasheria walichemka kupeleka kesi katika nchi ambayo kisheria huwezi kupeleka madai ya malipo.

Zipo nchi ambazo ukipeleka kesi ya madai ya malipo unasikilizwa na zipo ambazo ukipeleka kesi hausikilizwi.

Nchi zenye kusikiliza madai mfano ni Canada.

Nchi ambazo hawasikilizi mfano ni Marekani na South Africa.

Usisikilize sana matango pori ya wanasiasa.
 
Toka lini mzungu akatudai sisi kwa kumpa fidia kwa ardhi yetu? Unajua hiyo ardhi aliipataje? Unajua jinsi gani alipata mamlaka ya kuitumia hiyo ardhi? Aliinunua hiyo ardhi kutoka kwa Mwalim Nyerere?

Naomba jiulize wewe mwenyewe kama kuna mwafrika amesha ishtaki serikali yoyote ile ya nchi ya Ulaya kwa kutuuza sisi Amerika kama gunia la mihogo? Ukilitambua hilo njoo tena na uniulize tena kama huyo mkulima anatudai au hatudai.

Watu kama nyie sielewi kwa nini mnang'ang'ania kuishi Tanzania kama hamwipendi hii nchi. Kama una shindwa kutoka Tanzania na kuchukua uraia wa nchi nyingine niambie nikusaidie. Lakini waachie watanzania nchi yao. Wewe nenda kaishi huko unako fikiria niger kama wewe watakuthamini.

Kwani mkuu huyu mzungu anadai fidia kwa ardhi peke yake? Si anadai alikua na mali zingine zisizohamishika na zinazohamishika kama vile ndege, matrekta, zana za kilimo nk na vyote vilitaifishwa?

Pili, kwanini unang'aka na kua mkali wakati hili ni jambo la kueleweshana? Wewe unafikiri sisi tunaojadili hapa hatuipendi Tanzania, au unadhani wewe unaipenda Tanzania kuliko sisi? Au unafikiri kuipenda Tanzania maana yake ni kukaa kibwege na kukubali kila kitu bila hata kuhoji?

Mwisho, mimi siamini kama huyu mzungu ni kichaa, aende mahakamani kwa kesi ambayo haipo na awe na ushawishi kiasi cha kufanya mahakama za nchi mbili tofauti kwa vipindi viwili tofauti ziagize kukamatwa kwa mali zetu. Kama huyu mzee ni kweli anatudai, mimi nafikiri jambo la kiungwana la kufanya ni ama kumlipa au kukaa nae na kuingia makubaliano ya jinsi ya kumlipa kidogo kidogo.
 
Ujinga wa watanzania ndio mtaji wa wanasiasa waliposema tumeshinda kesi hakuna mtu hata mmoja aliyehoji hati ya hukumu hii inaonyesha jins gani tumegeuzwa nchi ya wapumbavu.
Usijitoe ufahamu, utahoji hukumu ya kesi wakati hata bei ya ndege hujui!!! Wewe mpaka sasa umeshaona lisiti ya manunuzi ya hizi ndege????
 
Haya mambo ya kisheria hayataki ubabe.

Aijui kama tulimaliza kulipa deni la meli ya samaki ambalo tumeamriwa tulipe samaki wote, meli yenyewe na hasara iliyopatikana wakati wote wa kesi pamoja na faida ambayo ingepatikana.

Steyn na wanasheria wake siyo wajinga. Wanaelewa kuwa hawana cha kupoteza.

Naanza kuhisi kuwa ingekuwa tumeshinda tusingesitisha ndege zetu kwenda Afrika Kusini.

Natamani iwe tumeshinda kweli, maana hizi gharama tunazoingia kwenye hii kesi si ndogo na sifahamu tuna nini cha kushika tena cha Steyn ikiwa ameshindwa kesi na atatakiwa atulipe gharama zetu. Nahisi hana cha kupoteza ndiyo maana kashikilia bango.
 
umesema mwenyewe kama kesi imefunguliwa upande mmoja Wa jumuiya ya madola inaweza kusikilizwa nchi nyingine ya jumuiya hiyo kama aliyefungua kesi kakata rufaa. sasa hapo tatizo liko wapi? kwani kesi ikiamriwa na nchi moja ya jumuiya ya madola, haiwezi kufunguliwa kwa nchi nyingine tena?

Kwani afrika kusini ,serikali haikushinda kweli? kama ni haki kukata rufaa nchi nyingine yoyote mwanachama Wa jumuiya, uongo Wa Kabudi unakujaje? Hivi kwa mawazo yako Canada itampatia tu hiyo ndege?

Naamini katika uwezo Wa Kabudi na zaidi ya yote Nina imani na nia na dhumuni la Mhe.Rais ,ninaamini Tanzania tuna wanasheria wazalendo na waaminifu wenye uwezo Wa kusimamia kesi yoyote ya kizandiki, kilaghai na kizushi inayofunguliwa mahakama yoyote duniani kwa maslahi mapama ya taifa letu

Hakuna cha maslahi mapana ya chochote hapa

Hapa ni kesi then haki itendeke!

Hii uzalendo talk mnataka mtende dhuluma muachwe kisa sababu ni nchi?

SA akina Kabudi waliponea sababu ya mkulima ku-file kimakosa majalada yake!

Alikosea kujaza fomu za mahakama!

Yaani waliponea sababu ya technicality ya kujaza makabrasha ya kufungua kesi!

Sasa hivi kajaza proper na kaenda nchi yenye misingi ya kweli sio some stupid corrupt ANC government huku bara la giza!

Hapo kesi izungumzwe mahakama itoe haki!

Eti mchukue mali za mtu then leo mje na hoja za kimatako za “uzalendo”?

Really?

Lipeni deni la mtu,maana mmezoea kurusha even makontrakta nchini kama mnavyotaka,ulaya hakuna usenge!

Mjifunze kuishi kistaarabu hapa duniani
 
Naungana na wewe kumwomba radhi balozi wa Canada kuitwa na Waziri Kabudi. Lakini Nakuhakikishia Nchi ya Canada haipo nyuma ya madai haya. Nasikitishwa Sana na kitendo Cha Waziri kuonyesha udhaifu kwenye tasnia ya sheria Kwa kiasi hiki.Canada watapata maslahi gani?Canada wanatafuta wateja wa kununua Ndege usiku na mchana.Naomba lawama ziende Kwa mkulima
 
Toka lini mzungu akatudai sisi kwa kumpa fidia kwa ardhi yetu? Unajua hiyo ardhi aliipataje? Unajua jinsi gani alipata mamlaka ya kuitumia hiyo ardhi? Aliinunua hiyo ardhi kutoka kwa Mwalim Nyerere?

Naomba jiulize wewe mwenyewe kama kuna mwafrika amesha ishtaki serikali yoyote ile ya nchi ya Ulaya kwa kutuuza sisi Amerika kama gunia la mihogo? Ukilitambua hilo njoo tena na uniulize tena kama huyo mkulima anatudai au hatudai.

Watu kama nyie sielewi kwa nini mnang'ang'ania kuishi Tanzania kama hamwipendi hii nchi. Kama una shindwa kutoka Tanzania na kuchukua uraia wa nchi nyingine niambie nikusaidie. Lakini waachie watanzania nchi yao. Wewe nenda kaishi huko unako fikiria niger kama wewe watakuthamini.

Hili jambo si la kisiasa na mahaba.Hili swala si hujuma Kwa Raisi kama ni hujuma ni Kwa Tanzania,Magufuli atapita Tanzania itabaki. Swala la msingi huyu mkulima ana dai au la ! Kama anadai apewe payment promise au wafanye mjadala wa kulipana. Maa
 
"Kila kitu kilikuwa wazi" kwa nani?
WaTanzania hawawezi kusikilza habari za Mahakama ya Afrika Kusini, wakaacha kuamini waliyoambiwa na serikali yao yenyewe, hapa hapa nyumbani; kwamba "walishinda Kesi" na ndege ikaachiwa na kurudi nyumbani.

Hiyo ndio hoja hapa na sio "kila kitu kuwa wazi."




Ndio serikari ilichosema, tatizo zinakujaga thread baadae kama hii, mtazamo wa mwanasheria gani msomi ambao wa ovyo kabisa, tweets huko sijui ya nani au nakala za magazeti ambazo zina maudhui tofauti na uhalisia.

Watu mnachangia huko kama icho kitu ndio premise yanini kilichojiri na kuanza kuamini vitu ambavyo havipo; halafu baadae mnataka kusingizia serikari ilisema vitu mlivyookota kwengine kabisa.
 
Nilikuwa sijawaza kuwa na roho mbaya zidi ya watanzania wanao wata kutuhujumu, kwa haya ya leo nimetamani Rais Wetu kuwa dekteta kweli. Hiyo ni huruma yake Rais Magufuli ndiyo inayo msuta.

Naomba hao wahaini watakapo julikana ni kuwafanyika kimoja tu, Process fupi! Kuwakamata na kuwaua mara moja bila kupoteza mda wa kuwafubgulia mashtaka.

Nina uhakika yule mzee mkulima hana lengo la kuihujumu Tanzania, wata kuwa hao hao wana sheria wetu na baadhi ya watumishi wa serikali ndiyo wanao kazania kuturudisha nyuma kama kisasi cha kushindwa kutuibia kama walivyo zoea kama zamani.

Rais Magufuli hauko salama wewe. Kwa hali hii utakuwa umezungukwa na watu ambao mda wowote wakitaka wanaweza waka kudhuru. Una walea wewe mwenyewe!

Huruma yako ya kutaka kupendwa na kila mtanzania ndiyo inayo kusuta. Baadhi yetu hawatakupenda hata mara moja. Na ndiyo hao kama waziri Proff. Kabudi alivyo sema; "hawalali wana kesha kutafuta njia za kuturudisha nyuma". Nina uhakika watu hawa wakishindwa kabisa. Wanaweza wakabaki na Option moja tu, nayo ni kusaka uhai wako!!

Acheni huruma za kitanzania hazita saidia kitu. Hao watu ni kuwamaliza tu punde mnapo wabaini. Hao sio binadam wenzetu ni wanyama. Na kwa wanyama lazima tutumie "methodes of the jungle" kuwadhibiti!

Mimi sioni shida watu kama akina Lissu, Mange Kimabi na wengineo ambao wako nje kuwateketeza. Wasifikiri kwamba wana ulinzi mzuri, mbona ni kitu rahisi sana kuwadhuru!
Angekuwa Rais Putin hapo mbona wange kuwa wamesha ondoka zamani sana.

Zitto Kabwe na watu kama akina Maria Sarungi na wengineo mara kwa mara wanapata mialiko ya kwenda kukutana na viongozi wa vyama Ujerumani na baadhi ya nchi za Ulaya, wanaenda kufanya nini? Na kama nani wao wapewe mialiko hiyo?

Muwe mnamsikiliza sana kauli zake. "Eti tusilaumiane". Mzalendo wa kweli anayeipenda nchi yake anasema kauli kama hizo?

Rais Magufuli nakuomba watumishi wote wa serikali na wanachama wa vyama ambao wanashirikiana na NGOs kuwatupia macho ili kubaini nini kinaendelea. Tuna maadui wengi sana miongoni mwetu.
Povu jingi ila hakuna namna tulipe deni! Wakulima wasipangiwe chakufanya!
 
Wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika mashariki walikwama wapi kulipwa stahiki zao kocha ya kushinda kesi yao ya mazao?
Wangetumia mbinu za mkulima wangeshalipwa siku nyiing sana
 
Taratibu aisee
Boya wewe . Huna akili .
Haki ni haki na in anatakiwa ifuatwe . Huyo mzungu alikuwa na mali zake nyingi vikiwemo vifaa vikubwa vya kilimo hadi ndege alikuwa nazo zikataifishwa na serikali ya mabazazi ccm .
So tulizeni hizo papuchi zenu dawa iwaingie pumbafu nyie

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Bado unapotosha. Hao wanasheria walichemka kupeleka kesi katika nchi ambayo kisheria huwezi kupeleka madai ya malipo.

Zipo nchi ambazo ukipeleka kesi ya madai ya malipo unasikilizwa na zipo ambazo ukipeleka kesi hausikilizwi.

Nchi zenye kusikiliza madai mfano ni Canada.

Nchi ambazo hawasikilizi mfano ni Marekani na South Africa.

Usisikilize sana matango pori ya wanasiasa.
Matango pori yapi nawakati mahakama za Tanzania ziliamuru mkulima alipwe usijione unajua kila kitu

Mara lazima aje mahakama za Tanzania, Mara Canada ndo wanaosikiliza angalia unajivyo jicontradict, point ni kwamba atukushinda kesi kama kabudi anavyotaka kuaminisha umma
 
Back
Top Bottom