The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Serikali iseme ukweli tu, walikubaliana nini na huyu mkulima kule SA.....
Haiwezekani huyu Mkulima Steyn apate uhalali wa kisheria kukamata mali ya serikali ya Tanzania kama hana support ya kisheria....
Na kukamata mali ya mdai, ni ujumbe wa kuitwa mahakamani mkayazungumze na kuyaweka sawa....
Nendeni Canada mkapambane na huyu ndugu na kama mlikubaliana kitu SA na mmepuuza kukitekeleza eti tu kwa sababu mliichukua ndege mikononi mwake, this time mtamlipa tu maana huko ni nje ya Africa....