Sio tu yeye na mahakama ya S.A ilikuwa ina bear strict liability kwa kutoa amri ya kuzuia ndege ya nchi ambayo wanajua kisheria hawana jurisdiction ya kusikiliza kesi wote wawili una changanya S.A justice department na huyo mkulima wakulipe faida na hasara za loss of income hili wengine wafikirie mara mbili kabla ya ku mess na Tanzania property.Yetu macho mkuu ngoja tuone mambo yatakavyokua. Maana na mimi nilikua najiuliza, kama huyu jamaa tulimshinda kule SA kwanini tusimfungulie sisi mashtaka ili atulipe fidia walau turudishe gharama za wanasheria wetu walioenda sauzi..?
Hakuna mtu alietaifishwa mali mkulima anadai compensation baada ya ardhi yake kuchukuliwa kwa taratibu za Tanzania.Kesi ni ya ardhi au utaifishaji mali? Mkuu unajielewa kweli!
Hivi mtu ulieanzisha thread ya upotoshaji toka mwanzo kweli nikuamini.Acha ujinga..mkulima anadai mpaka ndege zake zilizotaifishwa na serikali achilia mbali vitu vingine!
hukumu haiwezi kukatiwa rufaa katika nchi nyingine hata kama rufaa take ilisikilizwa katika nchi nyingine?
This is rubbish and it belongs to a dustbin. Kama mambo hamuyajui kaeni kimya siyo lazima kila mmoja aandike.Hivi mtu ulieanzisha thread ya upotoshaji toka mwanzo kweli nikuamini.
Mkulima aliridhia serikari kuchukua hiyo ardhi na walikubaliana watalipana. Akalipwa baadae tena wakaibuka watu na revaluation of the asset tofauti na makubaliano ya awali.
Hayo makubaliano mapya (ufisadi) tofauti na ya awali yakaendelewa kulipwa mpaka Magu alipioingia nakuambiwa huu ufisadi ndio malipo yakasimama.
Ushawahi kusikia dhana ya ‘double jeorpardy’ uwezi mshitaki mtu kwa kosa lilelile mara mbili.
Ngoja sasa mimi nikudhihirishie wewe ulivyo jinga.This is rubbish and it belongs to a dustbin. Kama mambo hamuyajui kaeni kimya siyo lazima kila mmoja aandike.
Kuna Foreign Judgement Act ya 2017 kwa nchi za Commonwealth. The Model Law was considered and endorsed by Commonwealth Law Ministers at their meeting of 16-19 October 2017, held in Nassau,Ngoja sasa mimi nikudhihirishie wewe ulivyo jinga.
1.Leta ushahidi wowote unaosema TZ na S.A zina bilateral agreement ya kusikiliza kesi ya aina yoyote
2.Leta ushahidi wa huyo mtu kupokonywa mali na historia ya kesi iliyo tofauti na nilichoandika
Vinginevyo tafadhali nimevuka umri wa kuropoka maneno yasiyo na staha.
Sio tu unakasirika ovyo wakati unadaiwa kweli😁😁😁😁😁Kabla hatujafika huko kote mkuu hebu tuambie kwanza,
MKULIMA ANATUDAI AU HATUDAI...??
Ili kama tunakasirika tujue tunakasirika kwa ishu yenye mashiko.
Tatizo umelipa cash, unategemea nini hapo, na kuna watu wanakuja canada kuja kuichukua, maana delivery tayari imeshafanyika huko Canada na sio hapa bongo.Sio tu yeye na mahakama ya S.A ilikuwa ina bear strict liability kwa kutoa amri ya kuzuia ndege ya nchi ambayo wanajua kisheria hawana jurisdiction ya kusikiliza kesi wote wawili una changanya S.A justice department na huyo mkulima wakulipe faida na hasara za loss of income hili wengine wafikirie mara mbili kabla ya ku mess na Tanzania property.
Ata huko bombardier kwa kanuni na taratibu za manunuzi mkataba unatakiwa ukamilike ndege ikitua kipawa vinginevyo ikichukuliwa juu kwa juu nakudai.
Anyway kama ulivyosema wana taratibu zao za ufahamu wa kisheria na kutatua mambo serikarini ngoja tuone itaishia vipi kwa approach zao.
You can’t even differenciate between an Act, Directive and Regulation; yet you want to discuss legal matters which involve voluntary participation of nations.Kuna Foreign Judgement Act ya 2017 kwa nchi za Commonwealth. The Model Law was considered and endorsed by Commonwealth Law Ministers at their meeting of 16-19 October 2017, held in Nassau,
Sasa kwa nini ijiaibishe na kujivunjia heshima kwa wananchi wake? Hili ndilo swali la msingi.Swala sio serikari inasema nini bali facts ya kilichojiri mahakamani
Mahakama ya huko aikuwa na jurisdiction ya kusikiliza kesi.
Kila kitu kilikuwa wazi siku ndege imeachiwa mahakama ya S.A ilisema hawana jurisdiction. Sasa kama hiyo ndio tafsiri ya kushinda hilo ni swala lingine.Sasa kwa nini ijiaibishe na kujivunjia heshima kwa wananchi wake? Hili ndilo swali la msingi.
Hivi kweli hawa watu wanawaona waTanzania kuwa mazuzu kabisa wasioelewa kitu?
Mwisho wao wa kutueleza uongo katika swala lolote ni upi? Kwa nini serikali ijitambulishe kuwa waongo kiasi hiki cha waziwazi kwa wananchi wake? Inawasaidia kitu gani hasa, kutuambia uongo ulio wazi, na wakijua uongo huo tutaugundua!