Obadia Antony
Senior Member
- Aug 31, 2019
- 121
- 86
Huna akiliKwa Hiyo watapeleka JWTZ kuwapiga European Unioni sio?
Hahahahaha
Huna akiliKwa Hiyo watapeleka JWTZ kuwapiga European Unioni sio?
Hahahahaha
Tatizo lako ni moja....
Unataka niwasikilize wabunge wa EU na kuwaelewa kama unavyotaka wewe.
Nimsikilize Kabudi kisha nimwelewe kama unabyotaka wewe. Demokrasia ipi mnahubiri mkuu?
Bado naenda na msimamo wa waziri...utu wa taifa langu unakuja kwanza..
Wewe jamaa hovyo sana. Kwa hiyo serikalii iendelee kuumiza raia wake na isikemewe? Haya sawa mkuu.
Utu wa kuuwa watanzania wenzenu??? Utu upi mnaousema labda???
Kuna unyama mwingi sana umefanyika, ila mnajivisha upofu na ukiziwi,,shauri zenu wote mnaounga mkono ukatili dhidi ya binadamu wenzenu chini ya mwavuli wa uzalendo feki.
Kuuwa watanzania sio utu mkuu....
Hayo yote unayoyandika nayajua na kuyaelewa....
Ila at the end of the day.... my country comes first. Watu wachache wanataka nchi iendeshwe kama wanavyotaka...
Hapana.
Hali hugeuka hivyo pale inapotokea wachache kujiona wao tu ndiyo wapo sahihi. Lazima migogoro itokee...Sawa, lakini inapofika swala la kukemea uovu wa nchi yenu mkemee msiwe wanafiki, kwa niliyoshudia kwa macho, naweza kusema nitamshangaa kila aymtakae simama na kutetea unyama dhidi ya binadamu wenzake,.... Jioni njema.
Hali hugeuka hivyo pale inapotokea wachache kujiona wao tu ndiyo wapo sahihi. Lazima migogoro itokee...
Na ikitokea wanajifanya victims.
Kwa Hiyo watapeleka JWTZ kuwapiga European Unioni sio?
Hahahahaha
Wivu na chuki yako kwa JPM haitafanikiwa kamwe.Chanzo cha haya yote ni magufuli
Hakika, na mimi sikutegemea reaction kama hiyo kwa mtu ambaye nilidhani ni msomi aliyeelimika.Ukisikia kukosa maarifa, basi ndio huku!
Ni wazi hawana majibu ya jinsi walivyotumia hizo fedha za EU sasa wanaanza kuwa wakali!
Nchi za afrika elewa haziwezi kamwe kujiendesha bila misaada ya au mikopo ya njeAcha kuwa na wasiwasi mkuu! Chapakazi tu usitegemee sana misaada!
Mzee Kikwete na mzee Membe hawakuwahi kujimwambafai namna hiyo mbele ya jumuia ya kimataifa, walipokuwa mawaziri wa mambo ya nje kwa nyakati tofauti. Huyu mtu sio diplomat.Hafai kua waziri wa mambo ya nnje huyu angefaakua katibu mwenezi ccmView attachment 1632598
Huyu jamaa alinifanya nihairishe kusomea PHD pamoja na kuchaguliwa kusomea kozi hiyo Mlimani.
Yaani ukimuangalia unaona kabisa anaongea aliyotumwa akaseme Prof mzima unalazimishwa kuongea pumba kwa ajili ya kulinda nafasi yako
Kwani misaada ni lazima umwelewi waziri,si ni donor country kuumia kunaanzia wapi hela za ndani zatoshaWatakaoumia ni wananchi. Ongezeko la kodi litatumika kufidia pesa ya misaada tutakayo kosa. Kuna wajinga watashangilia upuuzi wa Kabudi.