Prof. Kabudi afunika bungeni

Kumbe ni ccm mie ccm yeyote yule kwangu shetani
 
Ok
 
Kujibu hoja na kutenda vitendo ni vitu viwili tofauti
 
Kwangu mm hata wale viongozi ambao wametoka uhalisia wa wengi wapo kiundan hawajahama

Labda kifupi vijana ndio hatufuati wazamani kutuchagulia chama/kiongozi
 
Hongera prof....
Hapo prof anaonekana ni yy kama yy... Anapendeka kwa kila mmoja... Ila anayo safari Ya kwenda..
Namuombea kwa Mungu asipite njia aliyo pita Dr wa sheria, makyembe...
 
Prof Kabudi yupo vzuri.Tunataka viongozi wenye kujua kujenga hoja.Lakini nahisi CCM watambadili atakuwa mnafiki kama Mwakyembe.


Inafurahisha watu wakishindana kwa hoja badala ya kutishana na kutekaña na kupiga marufuku bunge live.
 
He is dam good , Ccm hawezekani kwa kutuletea watu waliowaleya vizuri. Mfano mdogo tuu:
1. Huyu Professor
2 Mhe Luwasa
3. MHE Slaa
4. MHE Warioba
5. MHE Kinana
6. MHE Salim Ahmed Salim
Nk
 
Yeyote aliye ndani ya ccm ni adui wa maendeleo ya kweli kwa watanzania. Vimaendeleo wanavyofanya ni vya hadaa ya kuombea kura tu kipindi cha uchaguzi. Tunasubiri mtakavyotetea ununuzi wa ndege kwa maendeleo ya Taifa kipindi cha kampeni
Ndugu hao watashinda kwa kiasi kikubwa, kwani wanawajibika vizuri, na Hawabadilizhi GEAR ANGANI.
 
Umemsifia sana lakini naomba nikuulize kwa nini maswali ya nyongeza ya Mh Mulugo amejibu kwa kusoma majibu? Ina maana hata hayo maswali ya nyongeza alishapewa hivyo ni kiini macho
Kajifundishe bunge linavyofanya kazi
 
Mi sijaona alichojibu cha tofaut hadi we mleta uzi kumpa crdt zote hzo...kwel kw dizain hii kuna watakao sifia kinyes kitam
 
Haha..Magufuli anaendelea kuipanga nchi yetu. Natamani Mungu atutunzie rais wetu..anatujali.
 
Prof Kabudi ni mzuri sana kwenye family law na pia Katiba ni mzuri especially baada ya kupata uzoefu kwenye tume ya Katiba ya Rais kikwete ila huyu jamaa huwa ana panic button yake na ni ndogo sana mtamuona tu just exercise patience on his panic button and that will reveal his intelligence!!!! Atakuja kuruka hapo hamtaamini seriosly!!! Wengine tunamstahi sababu ya umri na utaalamu wake tu ila hajatulia hivyo kama mnavyofikiria!!! Anamzidi mate wake dr. Mwakyembe kwenye senile state of mind kwenye hali tete ya kisisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…