Tatizo lenu hamna original thinking; you can't make it with reactionary strategy of doing politics. You need to be original. Hivi kuna Mtanzania mwenye akili timamu anaweza kubeza uamuzi wa Serikali kuhakikisha nchi inakuwa na shirika imara ndege (national flag bearer). Nyie sijui mmelogwa na nani. Ndege zimenunuliwa kiwandani kwa mtengenezaji ili kuepuka madalali vishoka wapigaji kama ilivyokuwa wakati wa ununuzi wa radar na ndege ya Rais (2003). Kuweni original thinkers ili watu wenye intellect waweze kuwaunga mkono vinginevyo mtaishia kunawa tu, basi.Yeyote aliye ndani ya ccm ni adui wa maendeleo ya kweli kwa watanzania. Vimaendeleo wanavyofanya ni vya hadaa ya kuombea kura tu kipindi cha uchaguzi. Tunasubiri mtakavyotetea ununuzi wa ndege kwa maendeleo ya Taifa kipindi cha kampeni
Mvinyo ni ule ule, tofauti chupa tu...Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Ni kweli anatisha, kawapa wanausalama ruksa ya kuvunja usalama....Magufuli anatisha sana. Maana ma prof ma dokta aliowateua ndio wanaonyesha huu uwezo
Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!