hasa sisi wa shinyangaIla kuna Watu wanapenda sana kulakula. Hilo utaliona hasa unaposafiri
Mie huyo ila kwenye usafiri huwa sili kabisaIla kuna Watu wanapenda sana kulakula. Hilo utaliona hasa unaposafiri
Sure!!Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine.
Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si mafuta kwasababu mwili hautunzi wanga wala sukari bali huvibadilisha kuwa mafuta. Ametaka watu kupunguza matumizi ya vitu vyenye sukari, utamu mkubwa na sukari yenyewe.
Prof Janabi amesema matatizo ya kushindwa kupata watoto, moyo, kiharusi, magonjwa ya kupumua, vifo vya ghafla asilimia mkubwa vinachangiwa na uzito usio sahihi na kula mara kwa mara. Profesa amesisitiza kutopeleka mwili kwa utaratibu wa chakula bali wale chakula wanapohisi njaa.
Hivi hii milo mitatu kwa siku kaiweka nani eti asubuhi break fast mchana lunch usiku super......hapo kuna evening tea ya jioni....hiyo milo mitatu nikujiletea matatizo ya mwili bure... ukiwa na discipline ya chakula mtu ana uwezo wa kuishi kwa mlo moja na nusi na akanawili hasa sisi tunao ishi mijini.Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine.
Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si mafuta kwasababu mwili hautunzi wanga wala sukari bali huvibadilisha kuwa mafuta. Ametaka watu kupunguza matumizi ya vitu vyenye sukari, utamu mkubwa na sukari yenyewe.
Prof Janabi amesema matatizo ya kushindwa kupata watoto, moyo, kiharusi, magonjwa ya kupumua, vifo vya ghafla asilimia mkubwa vinachangiwa na uzito usio sahihi na kula mara kwa mara. Profesa amesisitiza kutopeleka mwili kwa utaratibu wa chakula bali wale chakula wanapohisi njaa.
afya ni muhimuMkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine.
Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si mafuta kwasababu mwili hautunzi wanga wala sukari bali huvibadilisha kuwa mafuta. Ametaka watu kupunguza matumizi ya vitu vyenye sukari, utamu mkubwa na sukari yenyewe.
Prof Janabi amesema matatizo ya kushindwa kupata watoto, moyo, kiharusi, magonjwa ya kupumua, vifo vya ghafla asilimia mkubwa vinachangiwa na uzito usio sahihi na kula mara kwa mara. Profesa amesisitiza kutopeleka mwili kwa utaratibu wa chakula bali wale chakula wanapohisi njaa.
Mwili unaendeshwa kwa mazoea ukiendekeza kula milo mitatu utakuomba chakula kila unapo fika mda, tumezoea kula sana wa Tanzania hata masikini anakula na anamafuta mwili ya ziada.Prof naye ana upuuzi mwingi. Kusoma sana si kuwa na uelewa. Kula kuna ratiba zake na mwili unataka kula.
Mtu akishaona misosi hata hamuelewani tena...Ila kuna Watu wanapenda sana kulakula. Hilo utaliona hasa unaposafiri
Inategemea na aina ya chakula unachokula, Unaweza kuwa unakula mara 2 ila quality na quantity ya chakula chako ukampita mtu anayekula milo 4.Binafsi huwa ninawashangaa sana watu wanaokula zaidi ya mara 4 kwa siku. Binafsi ninakula mara 2 tu kwa siku.
Watu wale wanachoweza kula. Jamaa kafa last week na alikuwa anafuatilia sana diet. Ile kinyama kafa. Kaka yake bonge ana miaka 68 kamwacha.Mwili unaendeshwa kwa mazoea ukiendekeza kula milo mitatu utakuomba chakula kila unapo fika mda, tumezoea kula sana wa Tanzania hata masikini anakula na anamafuta mwili ya ziada.
Suala ni kilicho muua ni nini? Kadari za kufa ziko pale pale uwe mwembamba au mnene ila hilo alimanishe tusijali afya zetu.Watu wale wanachoweza kula. Jamaa kafa last week na alikuwa anafuatilia sana diet. Ile kinyama kafa. Kaka yake bonge ana miaka 68 kamwacha.
Acha uchochezi magufuli alikua na personal doctor wake alio kua anatembea nae. Kama ni kifo mulaimu Mungu sio binaadamu magufkli alipenda sanaa lissu afe ila mungu kamtanguliza yeye, kifo ni Mungu usihusishe binaadamu.Kila likitwaja jina la huyo profesa nakumbuka kifo cha Magufuli