BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,517
- 8,447
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu
Amesema kama watu wasipochukua hatua za kubadili mtindo wa maisha, hali itakuwa mbaya zaidi kwa kuathiri uchumi wa mtu mmoja mmoja pamoja na taifa kwa ujumla.
Amesema kama watu wasipochukua hatua za kubadili mtindo wa maisha, hali itakuwa mbaya zaidi kwa kuathiri uchumi wa mtu mmoja mmoja pamoja na taifa kwa ujumla.