Prof. Haji Semboja umenishangaza

Prof. Haji Semboja umenishangaza

Hawa chadema akili zao ndogo sana. Wameamua kutumia hizi takwimu za asilimia 34% fedha ya maendeleo kuwa imetolewa mpaka sasa kuhadaa wananchi wajinga kama mleta mada. Pesa ya Miradi ya maendeleo hutolewa kwa awamu kadiri mkandarasi anapotoa taarifa ya kumaliza kazi na kukabidhi hati. Pia miradi mingine ipo ngazi ya zabuni, nyingine wakandarasi ndio wanapeleka vifaa kwenye eneo la kazi
Mkawadanganye wa vijijini.
 
Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;

aid1588889-728px-Stop-Running-Away-from-Yourself-Step-5.jpg
 
Namkubali sana Prof Ndumilakwili!! Huyu pekee ndoi huwa hakosei target zake!
 
Huyu Prof. amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.

Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.

Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Sasa mnategemea nini mnapofanya negative publicity.kwenye tawi mlilolikalia. Wafadhili wataacha halafu unalia upuuzi huu, shit on you!!!!
 
Wee jamaa vipi? Sasa unataka atoe maoni yako? Katoa yake unatoa povu, hivi nyie viumbe zinawatosha kweli??
 
Tatizo la hawa wafitini.wanataka kusikia mtu anaponda tu.pumbavu zenu. Proffessa katoa uchambuzi pamoja na maoni yake kitaalamu zaidi na ameonesha ujuzi wake pasipo kuingiza siasa za kikuda.
Vipi nikwanini upende kusikia kitu ambacho kitakufurahisha wewe,kwa kupitia mdomo wa mmwingine very pathetic indeed.
 
Semboja alete vyeti hapa.
Yani nimemuangia ITV anajambajamba tu,anasema kutoka mdomoni lakini sura inajua anadanganya kwakuwa anasubiria teuzi kama Bashite Muhongo
 
Katika kipindi ambacho maprofesa na madokta hawatakisahau ktk maisha yao ni awamu hii maana heshima na hadhi zao zinashuka na kudharaulika kwa kasi. salama yao ni kusimamia kweli. No way out.
 
Maelezo yake yana mantiki, ila kwa waliojipanga kuanzisha 'visred' vya kukosoa au kuchagua maneno watajifanya vipofu.
Kasema kwamba nchi imeanzisha miradi mikubwa mipya, na wafadhili siyo kwamba wamegoma sababu wameshatoa fedha za mobilization. Hivyo tutegemee fedha za miradi husika kuja hata kama ni kwa kuchelewa tofauti na vile tulivyotaka.
Duh, yaani kuna watu wanakesha kuiombea mabaya Tz, kisa mh Rais aonekane kushindwa!
 
Wabongo tunapenda sana kusikia mtu akihojiwa kuhusu suala la kiserekali asiwe upande wa serekali hapo atakua yuko sahihi na watu humu watampongeza sana..Ila akisimamia ukweli professionally lazima atapondwa..tuheshimu professional za watu..Msiseme hayuko sahihi kwa kutokusikia vitu masikio yako yanayotaka kusikia muda wote
Natafakari tu maana ya kuitwa "NYUMBU"
 
Tatizo la hawa wafitini.wanataka kusikia mtu anaponda tu.pumbavu zenu. Proffessa katoa uchambuzi pamoja na maoni yake kitaalamu zaidi na ameonesha ujuzi wake pasipo kuingiza siasa za kikuda.
Vipi nikwanini upende kusikia kitu ambacho kitakufurahisha wewe,kwa kupitia mdomo wa mmwingine very pathetic indeed.
naona vikaragosi vya lumumba mmekuja kutetea ujinga wenu. nyie hamuoni walakini bajeti against mipango utekelezaji=34% hilo haliwasikitishi.
 
Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;
samahani hii serikali ina muda gani madarakani? Ina maana kila siku iko kwenye hatua moja.

Kutetea ujinga yakubidi uwe mjinga za ya ujinga unaotetea
 
yani mbuzi wa chadema ambae hata form two hakufika anamkashfu huyu profesa kweli?
 
Mkawadanganye wa vijijini.
Mnyika ni form VI tu Hana profession yoyote. Hana academic authority yoyote. Amesema kama muuza mitumba fulani. Watu kama hao huwa sipoteza hata sekunde moja kuwasikiliza kwenye mambo ya kitaalam kama haya.Watu kama akina Mbowe. Ni kupoteza muda mtakatifu kuwasikiliza. They are laymen.
 
Back
Top Bottom