Mkuu Salary Slip, mimi ni miongoni mwa tuliomsikia Semboja na alichosema ndio ukweli halisi wa kiuchumi, ila uelewa wa Watanzania wengi kwa hoja za kiuchumi, ndio uelewa kama huu wa kwako.
Alichosema ni miradi ya maendeleo inatelelezwa kwa kipindi kirefu kama a 5-Year Plan.
Bajeti inayopitishwa leo ya utekelezaji miradi hiyo hupitishwa bajeti yote ya miaka 5 at a go, ila utekelezaji hupangwa kwa awamu, hivyo fedha hutolewa kwa awamu, na akasema ni kawaida kwa utekelezaji wa miradi mingi kuanza very slow kwa muda mrefu kutumika kwa mobilization hivyo it's normal kutolewa fedha kidogo.
Semboja akasema we are on the right direction kwa hicho kidogo kilichotolewa, hivyo akasema wafadhili wame hold ahadi zao mwanzoni tuu lakini wakiona tunachotoa na tunachokifanya kwa kidogo chetu, then watanitokeza na kutupatia hicho kikubwa walichoahidi.
Paskali