Prof. Haji Semboja umenishangaza

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Huyu Prof. amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.

Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.

Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
 
Huyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ameteea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.

Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Wooooote hakuna profesa ila woga na proppesa. labda atakumbukwa maana profesa wanachaguliwa sana
 
Huyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ameteea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.

Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Ukistaajabu ya Prof .semboje utayaona ya Prof. Lipumba
 
maoni ya profesa wangu huyu nayashangaa, na juzi juzi nilisoma kwenye gazeti kuhusu maoni yake kuhusu utata wa majina ya mkuu wa mkoa wa DSM nilishangaa maoni yake.
 
Wabongo tunapenda sana kusikia mtu akihojiwa kuhusu suala la kiserekali asiwe upande wa serekali hapo atakua yuko sahihi na watu humu watampongeza sana..Ila akisimamia ukweli professionally lazima atapondwa..tuheshimu professional za watu..Msiseme hayuko sahihi kwa kutokusikia vitu masikio yako yanayotaka kusikia muda wote
 
Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;
 
Unafkr atasema nn wakat anatetea tumbo lake? Anajuaje kama hela zilichelewa kufka? Hela za ndan zimefanya nn? Zote Amenunua ndege? Hovyo kabsa hawa viongoz wetu, unanunua suti wakat shati huna? Muda utaongea nyumbu kabsa! Mtu gani hakoselewi wala kushauliwa? Muda utaongea!
 
Back
Top Bottom