Mkuu;
Naona huenda unasumbuliwa ni hilo tezi. Huyo anayepinga kweli ni nani hapa bongo?? Yaani weye umemwelewa huyo Profesa Semboje?? Yaani mtu anajishaua ili ajulikane kuwa miongoni mwa waongo wazuri unaona amesema kitu??
Aliulizwa, anaionaje bajeti ijayo, inafaa?? Yeye anatetea upungufu wa inayo malizikia ambayo haikutekelezeka.
Nadhani alitakiwa aeleze wazi kuwa, Kwa kuwa bajeti yetu ni tegemezi hii nayo ni mgogoro kutekelezeka. Alitakiwa achallenge vyanzo vya mapato vifikiriwe upya. Sio kuongeza bei ya soda na sigara tu na kumlimisha kodi maskini anaye nunua vocha ya simu kila mwaka useme utaiendesha nchi kwa pato hilo.
Uchumi unayumba hata kuongeza kilimo hawataki. Upo hapo??