Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Ukistaajabu ya Prof .semboje utayaona ya Prof. Lipumba
Huku kwetu Profesa ni jina tu kama majina mengine ndio maana kuna Profesa J, Profesa Maji Marefu, Profesa Semboje, nk. Ndio maana wengine hutania kuwa hawa wetu ni Propesa.