ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Hahahaha itabidi unilipe mbavu zangu walahi duh!Ukistaajabu ya Prof .semboje utayaona ya Prof. Lipumba
Hahahaha itabidi unilipe mbavu zangu walahi duh!Ukistaajabu ya Prof .semboje utayaona ya Prof. Lipumba
Yeuwii!yani mbuzi wa chadema ambae hata form two hakufika anamkashfu huyu profesa kweli?
Miradi mingi ya goverment waga inaenda up to 3-5 yrs kwa hiyo financing yake si kwa bajeti moja tu.naona vikaragosi vya lumumba mmekuja kutetea ujinga wenu. nyie hamuoni walakini bajeti against mipango utekelezaji=34% hilo haliwasikitishi.
Absolutely!Mnyika ni form VI tu Hana profession yoyote. Hana academic authority yoyote. Amesema kama muuza mitumba fulani. Watu kama hao huwa sipoteza hata sekunde moja kuwasikiliza kwenye mambo ya kitaalam kama haya.Watu kama akina Mbowe. Ni kupoteza muda mtakatifu kuwasikiliza. They are laymen.
Profesa njaa tu. Nchi ya kibashite hii.Huyu Prof. amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Mjukuu wa semboja babu yako kachemkaUlitakaje?.haya toa maoni yako sasa
Ahaaaaa ahhhh mweeh jf sihamiUkistaajabu ya Prof .semboje utayaona ya Prof. Lipumba
Kivipi?Nimesikia profesa yuko sahihi kabisa Ila usipende kusikia kinachokufurahisha tu...Pendant kusikia vitu vya kweli..Profesa yuko sawa kabisa kiuchumi lakini
Toa majibu sio unakuja kipunguani.Sasa wewe kilaza slip hiyo trilion 3.1 iliyotolewa imetoka kwenye mapato yapi unadhani?
Sasa jeuri ya kwamba nchi hii ni tajiri hatuhitaji misaada iko wapi?Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;
Kwa kweli prof. Kaongea utadhani sio mchumi. Budget huwa ni ya miezi 12 yeye anaongelea at huu ni mwanzo wa miradi pesa ingine itatolewa baadae how? Bora asingeongea kabisaHuyu Prof. amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Wooooote hakuna profesa ila woga na proppesa. labda atakumbukwa maana profesa wanachaguliwa sana