Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

Huyu ni mpagani wa wapagani. Aliowafundisha pale UDSm wanafahamu vizuri. Yeye na Kingunge ni kundi moja.
afadhali kuwa mpagani lakini matendo yako yakawa mazuri na wazi kuliko kanisani/msikitini kila siku halafu mambo ya giza!
 
Acha uongo wewe. Hivi unajua freemasons walianza lini mpaka udae eti waandishi wa Biblia walikuja kuwa fm. God hater, when will you grow up na kuacha uongo? Kuwa Satan incarnate ndio kukufanye useme uongo?

Hujuwi chochocte kuhusu ukristo zaidi ya kuwa Hater wa Mungu. Kitu cha ajabu, unachuki na Mungu ambaye hayupo!!!! That is pathetic.

Unaendelea kuonyesha low self esteem kila unapo sikia neno Mungu.

'Mizizi ya Freemasonry' ipo katika imani za mizimu na miungu mingi Misri wakati wa tawala za maFarao miaka ya 1300 hivi kabla ya Kristo. Imani ilienda ikiboreshwaboreshwa, ambapo kufikia mwaka 1700 hivi, vitabu vilikuwa vimeandikwa vingi kufundisha imani ya Freemason na wafuasi wakiwa wengi katika mataifa ya Wazungu--Ufaransa, Marekani na kwingineko.

Timeline za Utengenezaji wa Biblia zinazotumika sana sasa ni hizi hapa:
The Authorized Version, commonly known as the King James Version, King James Bible or KJV, is an English translation of the Christian Bible by the Church of England begun in 1604 and completed in 1611.[3] First printed by the King's Printer Robert Barker,[4][5] this was the third official translation into English. The first was the Great Bible commissioned by the Church of England in the reign of King Henry VIII, and the second was the Bishop's Bible of 1568.[6] In January 1604, King James VI of Scotland and I of England convened the Hampton Court Conference where a new English version was conceived in response to the perceived problems of the earlier translations as detected by the Puritans,[7] a faction within the Church of England.[8]

James gave the translators instructions intended to guarantee that the new version would conform to the ecclesiology and reflect the episcopal structure of the Church of England and its belief in an ordained clergy.[9] The translation was done by 47 scholars, all of whom were members of the Church of England.[10] In common with most other translations of the period, the New Testament was translated from Greek, the Old Testament was translated from Hebrew text, while the Apocrypha were translated from the Greek and Latin. In the Book of Common Prayer (1662), the text of the Authorized Version replaced the text of the Great Bible – for Epistle and Gospel readings – and as such was authorised by Act of Parliament.[11] By the first half of the 18th century, the Authorized Version was effectively unchallenged as the English translation used in Anglican and Protestant churches. Over the course of the 18th century, the Authorized Version supplanted the Latin Vulgate as the standard version of scripture for English speaking scholars.
 
Nilishawahi kusema hapa kwamba ukielewa vizuri imani ya mungu, wanaoamini mungu wako karibu na u Freemason kuliko wasioamini mungu.

Kwanza wote wanaamini mungu. Kwa mfano Freemasons wako karibu na Wakristo/ Waislam kuliko atheists, kwa sababu Freemasons/Wakristo/Waislam wote wanaamini mungu. Atheists hawaamini mungu.

Halafu Freemasons wanaweza kujisema kwamba wako benevolent kuliko Wakristo/Waislam kwa sababu wanaamini katika kujumuisha watu wa dini zote wanaoamini mungu. Wakristo na Waislam hawana benevolence hii kwa sababu wote wana declare monopoly kwa mungu, waislam wakisema hakuna mungu ila allah, na Muhammad ndite mtume wake wa mwisho, wakristo wakisema njia pekee ya kufikia uzima ni Yesu. Freemasons wanawakumbatia wote.

Hiyo biblia yenyewe imeandikwa na waliokuja kuwa freemasons, sasa kama wewe Mkristo kwa mfano unaita atheists freemasons wakati biblia yenyewe imeandikwa kwa censorship kuondoa mambo mengi na umeachiwa waliyotaka uone hao Freemason's predecessors, walio aim ku control dunia, nakuona huna uelewa wa mambo mengi sana.

The ultimate goal ya Illluminati/Freemasons ni kuwatoa watu wasimwamini Mungu (Yehova) ili awaokoe. Wanafanya kazi ya Lucifer (shetani) na baadhi ya departments zao ni Adheism, Communism, Fake Christianism, uchawi, Music, Film industry, mitindo, technology, to mention just a few.
 
'Mizizi ya Freemasonry' ipo katika imani za mizimu na miungu mingi Misri wakati wa tawala za maFarao miaka ya 1300 hivi kabla ya Kristo. Imani ilienda ikiboreshwaboreshwa, ambapo kufikia mwaka 1700 hivi, vitabu vilikuwa vimeandikwa vingi kufundisha imani ya Freemason na wafuasi wakiwa wengi katika mataifa ya Wazungu--Ufaransa, Marekani na kwingineko.

Timeline za Utengenezaji wa Biblia zinazotumika sana sasa ni hizi hapa:
The Authorized Version, commonly known as the King James Version, King James Bible or KJV, is an English translation of the Christian Bible by the Church of England begun in 1604 and completed in 1611.[3] First printed by the King's Printer Robert Barker,[4][5] this was the third official translation into English. The first was the Great Bible commissioned by the Church of England in the reign of King Henry VIII, and the second was the Bishop's Bible of 1568.[6] In January 1604, King James VI of Scotland and I of England convened the Hampton Court Conference where a new English version was conceived in response to the perceived problems of the earlier translations as detected by the Puritans,[7] a faction within the Church of England.[8]

James gave the translators instructions intended to guarantee that the new version would conform to the ecclesiology and reflect the episcopal structure of the Church of England and its belief in an ordained clergy.[9] The translation was done by 47 scholars, all of whom were members of the Church of England.[10] In common with most other translations of the period, the New Testament was translated from Greek, the Old Testament was translated from Hebrew text, while the Apocrypha were translated from the Greek and Latin. In the Book of Common Prayer (1662), the text of the Authorized Version replaced the text of the Great Bible – for Epistle and Gospel readings – and as such was authorised by Act of Parliament.[11] By the first half of the 18th century, the Authorized Version was effectively unchallenged as the English translation used in Anglican and Protestant churches. Over the course of the 18th century, the Authorized Version supplanted the Latin Vulgate as the standard version of scripture for English speaking scholars.
Hivi sasa hivi kila kitu chanzo chake ni Freemason? Mbona hapo juu sijaona kiunganisho (connection) kati ya Biblia na Freemasonry? Hata hivyo hayo yana uhusiano gani na mtu kutojitambulisha na dini za kigeni? Waafrika tulikuwa na dini kabla ya kuja wazungu/waarabu/wahindi n.k. Udhaifu wetu ni kwamba hatukuwa na vitabu vya marejeo vya kusaidia kuzipa dini zetu uzima wa milele. Zimeendelea kupotea kadri muda unavyopita. Hizi dini za kigeni zimekuwa chanzo cha kutuchanganya akili na kutugawa. Sichelei kusema kuwa hizi dini sasa hivi ni utapeli mtupu. Hata kama Mungu yupo namna ya kumfikia siyo kupitia hizo dini za kigeni. Kutoamini katika dini za kigeni siyo sawa na kuwa mpagani. Mpagani kwa maana heathen kwa lugha ya kiingereza ni yule asiyetambua uwepo wa Mungu.
 
Huyu ni mpagani wa wapagani. Aliowafundisha pale UDSm wanafahamu vizuri. Yeye na Kingunge ni kundi moja.

upagan nini?
kuikacha biblia na kuran km njia ya kumuamin mungu ni upagan?
auwez ukamuamin mungu in other way wthout bible or kuran?
wapagan ndo watu wanaofanya dhambi?
wakristu na waislamu hawatend dhamb?
 
Huyu dingi anashangaza sana ni wazi kwamba CHADEMA walishinda kwa sababu wana MUNGU na CCM wana FEDHA iweje tu baada ya Uchaguzi baregu anamkataa Mungu aliyeipa CDM ushindi Arumeru? Falsafa yake ya kipagani abaki nayo humo humo ila akija Arusha ambako watu wengi wanamheshimu Mungu hatapata support ya upagani wake. kam siyo mnafiki na wakutaka kumfurahisha Devil basi angekuja na kitabu cha hiyo dini yake ili tujue anachokiamini. Lazima at some point binadamu walikuwa wanaamini kitu, iwe miti, mawe n.k. kama ana ujasiri angeleta hata jiwe au kipande cha mti basi tujue anaamini nini?. kwa hili prof. anaonekana kuyumba simpi support hata kidogo na CDM katu msiendekeze hii imani ikataeni kwani ni KWA SABABU YA KUMTUMAINI MUNGU MMEFIKA HAPO MLIPOFIKA. Mkikosea kumfuatisha Baregu mtatetereka within no time. Lets keep our faith on God tuache ujinga.

Tatizo hujaelewa braza,sio kwamba hamtaki Mungu au haamini kwamba Mungu yupo. Bali haamini katika dini hizo mbili yaani ukristo na uislam kitu ambacho ni kawaida na ni haki yake,sio lazima ni amini unacho amini.Pia kuwa na dini haimaanishi ndio utakuwa kiongozi mzuri au raia mwema.Wangapi wanajazana makanisani na misikitini ndio wezi wakubwa
 
Kiunganishi ni hayo maneo ya mchangiaji mwenzetu mmoja hapo chini. Alikuwa anamjibu mchangiaji mwingine katika thread nikataka kuweka timeline kwa ajili wote wawili for accademinc purposes. Nayarudia maneno kwa chini.
Ila kimsingi mimi na wewe tunakubaliana sana katika hili unalosema hapa chini. Hiki ndiyo kilio changu
kwa watanzania. hasa wanaotoa mapovu kutetea hizi mila za kigeni at the detriment of peace. Napenda maneno yako haya. Profesa Baregu anajaribu kuonesha kuwa kuna njia zaidi ya moja ya kumtambua mungu. Si lazima iwe Ukristo ama Uislamu:

Hivi sasa hivi kila kitu chanzo chake ni Freemason? Mbona hapo juu sijaona kiunganisho (connection) kati ya Biblia na Freemasonry? Hata hivyo hayo yana uhusiano gani na mtu kutojitambulisha na dini za kigeni? Waafrika tulikuwa na dini kabla ya kuja wazungu/waarabu/wahindi n.k. Udhaifu wetu ni kwamba hatukuwa na vitabu vya marejeo vya kusaidia kuzipa dini zetu uzima wa milele. Zimeendelea kupotea kadri muda unavyopita. Hizi dini za kigeni zimekuwa chanzo cha kutuchanganya akili na kutugawa. Sichelei kusema kuwa hizi dini sasa hivi ni utapeli mtupu. Hata kama Mungu yupo namna ya kumfikia siyo kupitia hizo dini za kigeni. Kutoamini katika dini za kigeni siyo sawa na kuwa mpagani. Mpagani kwa maana heathen kwa lugha ya kiingereza ni yule asiyetambua uwepo wa Mungu.

quote_icon.png
By Kosher

Acha uongo wewe. Hivi unajua freemasons walianza lini mpaka udae eti waandishi wa Biblia walikuja kuwa fm. God hater, when will you grow up na kuacha uongo? Kuwa Satan incarnate ndio kukufanye useme uongo?

Hujuwi chochocte kuhusu ukristo zaidi ya kuwa Hater wa Mungu. Kitu cha ajabu, unachuki na Mungu ambaye hayupo!!!! That is pathetic.

Unaendelea kuonyesha low self esteem kila unapo sikia neno Mungu.
 
Mkuu it seems you are still a kid, you dont have a convincing language....you dont have an attractive langauge......you just say anathing out of your mouth....and most of the time is just abusive and disgusting langauge

Hivi dini hizi hizi ndio hawa hawa wezi, wabakaji, mafisadi, wachawi, waongo, wauaji..yet these people are representing islamic and chrstianity?? realy?

Mkuu hayo maovu unayozungumzia hayaletwi na dini bali ni watu kushindwa kufuata dini inasemaje.ulishawahi kusikia ukristo au uislam ukifundisha waumin wake waibe au wabake?kama kila mkristo au muislam angeshika vizur dini yake bila shaka hayo yasingekuwepo.
 
Nimependa sana hiyo. Hawa waliposoma na kusikia habari za ukomunism ndiyo wakaja wamelewa hiyo bangi ya kirusi. There is no originality in this, all is a fruit of brain washed politics
The notion that Christian GOD exist came from Europe
The notion that Islam ALLAH exist came from Middle east
The fallacy that GOD does not exist came from abroad (Europe, America etc)

So whether you believe or not believe you are still under the influence of Europe or America. Usitudaganye wewe bado ni mtumwa wa fikra za hao hao wazungu, hata hiyo statement ya kuhusu nini unaamini tushaiona kwa ''wazungu'' kibao........wasioamini. Ungesema unaamini mizimu angalau ungekuwa na hoja...
 
usimsahau jenerali ulimwengu na salim ahmed salim pia marhemu Haroub othman ambae hata hivyo mwishoni mwishoni kabla ya kifo chake alianza kuonekana misikitini
Hili hua linantiza binafsi....wakifa huzikwaje?
Japo mwisho wa kufa kwao wataonesha njia walizo nazo!
 
Mkuu hayo maovu unayozungumzia hayaletwi na dini bali ni watu kushindwa kufuata dini inasemaje.ulishawahi kusikia ukristo au uislam ukifundisha waumin wake waibe au wabake?kama kila mkristo au muislam angeshika vizur dini yake bila shaka hayo yasingekuwepo.
100% noted.

Sijui kwanin wanaapa kupitia Quran?
 
ndo ubaya wa shule za kata, kwani hata mawazo yako yamekaa kikata kata.

Kibaya zaidi ya kuwa na mawazo ya "kikata kata" ni kushindwa kuya dismiss mawazo ya "kikata kata" kwa arguments.

Unacholeta wewe hapa ni hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja. Sasa ukiona mtu anatumia hoja ya nguvu dhidi ya kile kinachoitwa "mawazo ya kikata kata" utajua ama hayo yanayoitwa "mawazo ya kikata kata" yamemshinda kwa sababu si ya kikata hivyo, au kama ni kweli ya kikata kata, huyo maamuma mwingine anayeyapinga bila ya kuyapangua yuko hoi bin taaban zaidi ya mawazo ya kikata kata.

Naomba unionyeshe mawazo yangu yamekaa "kikata kata" wapi ili twende in the toe by toe Kiranga tradition. Vinginevyo utaidhihirishia kadamnasi ya JF kwamba umeshindwa kumuelimisha mtu mwenye mawazo ya "kikata kata"

Sasa mie na wewe unaye fanya assumptions tu kwamba nina au nataka kuwa na watoto bila ya kunijua nani ana mawazo finyu?

Halafu unaproject shule za kata, the sheer temerity!
 
huoni wenye dini wanahubiri kila siku lakini wao ndiyo wanabomoa mali za watu(wanavunja sheria,mafisadi wanatembea makanisani unafiki tu, I love ur phyilosphy humanity,justice,equality ,clean environment, fairness and equity,between community and conscious building.
 
The ultimate goal ya Illluminati/Freemasons ni kuwatoa watu wasimwamini Mungu (Yehova) ili awaokoe. Wanafanya kazi ya Lucifer (shetani) na baadhi ya departments zao ni Adheism, Communism, Fake Christianism, uchawi, Music, Film industry, mitindo, technology, to mention just a few.

Adheism ndiyo nini? Kama hujui spelling kwa nini niamini kwamba content, delivery na analysis yako ni sawa?

A true atheist does not believe in neither god nor the devil, because these are both mythical supernatural figures representing the ultimate good (god) and evil (the devil).

Kwa definition hiyo, atakayetaka kuwatoa watu kumwamini mungu waende kumwamini shetani si atheist, tafuta jina jingine.Kwani huyu anaamini katika nguvu za shetani.

Ndiyo maana nikasema hao Freemasons wako karibu na Wakristo/ Waislam kuliko inavyofikiriwa. tena ndio hao hao walioandika na ku edit biblia.

Angalia hapa mtu ana list ya Bishops, Monsignors and Cardinals of the catholic Church known to have been Freemasons.

Masons control the Vatican

Halafu ndio mtu Mkristo aje hapa kusema the ultimate goal of Freemasons ni kuwafanya watu wasimwamini mungu wakati Vatican imejaa Freemasons?

Mi naona the ultimate goal of Freemasons ni kuwafanya watu wamuamini mungu, na kupata mtu kama papa kusadikika kama muwakilishi wa mungu duniani.

Mtu yeyote anayejua human psychology atajua ni rahisi zaidi kupata unachotaka kwa kutumia authority ya mungu. Binadamu alivyo anataka kuamini katika authority, and nature abhors a vacuum, so ukimwambia hili neno la mungu ndio njia nyepesi kabisa ya kutawala mawazo yake.

Sasa kama Freemasons wanataka kutawala dunia, kwa nini wasiitumie hii njia nyepesi kuwatawala watu?
 
upagan nini?
kuikacha biblia na kuran km njia ya kumuamin mungu ni upagan?
auwez ukamuamin mungu in other way wthout bible or kuran?
wapagan ndo watu wanaofanya dhambi?
wakristu na waislamu hawatend dhamb?

Kwa wengine hawa kuamini kitu ambacho hakijapitishwa na mzungu/ muarabu ni "upagani".

Sad indeed. Hao wazungu wenyewe siku hizi hata hawalitumii hili neno kwa sababu linaonyesha upungufu katika mawazo ya anayelitumia, sie Waafrika wenyewe kwa wenyewe tunaitana wapagani kwa sababu mmoja wetu kasema anataka kujikita zaidi kwenye mila zetu.
 
this guy believes what exactly is my believe!!
and i dear to say every great thinker in this forum has to concur with this doctorine!!

"i was baptized a catholic when i was young at school..i wouldnt want to be hyprocrite as i believe god is there(is sovereign and exists), not in the house of bibles or qurans..i ve never been doctrinaire for christianity or any religion from abroad, i believe in a lot of things in africa..africans ve abondoned their indigenous spiritualism from their own 'gods' and what they do now is nothing other than hyprocricy..

There is spiritual push from the devevoloped world but still some respect their denominations.for example, hinduism is still playing a big role and most respected by indians communities."

baregu subsribes to humanity,justice,equality ,clean environment, fairness and equity,between community and conscious building.
Source:the african,monday,april 16 2012.

Bila shaka tumepata na upande wa pili na sasa maswali yanaweza kupungua.
 
Ni dhambi kulitamka bure jina la Mungu wako bila matendo. Hivyo kama unajua hutatenda kulingana na mapenzi yake ni bora usinyanyue vitabu vyake. Namuunga mkono kwa uamuzi wake
 
Binafsi nimeguswa na hili jibu sana. Mimi pia nina fikra na mrengo huu. Nilibatizwa mkatoliki lakini nimeacha kwenda kanisani miaka 10 iliyopita. Sikuacha hivihivi,nilikua na sababu za msingi. Jambo moja kubwa lilikua ni jinsi kanisa langu lilivyowachukulia masikini na wanyonge. Mfano: matajiri walithaminiwa na hata sasa wanathaminiwa kuliko masikini. Akifa kichanga wa Tajiri anazikwa hata na mapadri wanne wakati akifa kichanga wa masikini anazikwa na katekista.Kanisa limekua likitukuza utajiri na kuwatukuza wenye mali nyingi ambao kimsingi wamewanyonya na wanaendelea kuwanyonya wanyonge. Padri mmoja(Muhindi) alifikia hatua ya kwenda kwenye bakuli la Sadaka na kutoa Sarafu(coins) na kuzitupa sakafuni kwa madai kua hakua anazihitaji. Et hazikuweza kulipia huduma na gharama za kuendesha kanisa. Aliyafanya haya bila kujali hali za kimaisha za waumini wake. Yeye aliishi kwenye kituo fulani chenye nyumba za kisasa na mazingira safi huku akiwa na gari ya kutembelea. Bila huruma alikua akiwalazimisha waumini wake waliokua wanaishi kwenye nyumba za Nyasi na kuishi kwa kutegemea uvuvi wampe sadaka kubwa.

Kihistoria,mifumo ya kidini ya kiafrika ilikua inalandana na jamii husika na ililenga kutatua changamoto za jamii hizo. Watu waliomba mvua,waliomba tiba ya magonjwa mbalimbali na waliomba kuepushwa na balaa. Kinjekitile alitumia imani ya kidini kupinga ukoloni/ubepari. Ni wazi kua dini hizi za kuletewa haziendani hata kidogo na jamii zetu. Hazilengi kutatua changamoto mama tunazokabiliana nazo. Nani anategemea Ukatoliki upigane dhidi ya ubepari? Shehmu kubwa ya historia yetu imepotea na imepotea kwa sababu historia yetu ilikua imejikita katika njia zetu za kuabudu. Tumetupilia mbali njia zetu za kuabudu na hivyo tumetupilia mbali misingi ya maadili,mapambano na maono yetu.

Kuna haja ya kuhoji hii mifumo ya kigeni ya imani na kuitupilia mbali.

*******************
Sisi ni nyinyi
Wetu wanyang`anyi
nafarijika kujumuika nanyi
 
Back
Top Bottom