Adheism ndiyo nini? Kama hujui spelling kwa nini niamini kwamba content, delivery na analysis yako ni sawa?
A true atheist does not believe in neither god nor the devil, because these are both mythical supernatural figures representing the ultimate good (god) and evil (the devil).
Kwa definition hiyo, atakayetaka kuwatoa watu kumwamini mungu waende kumwamini shetani si atheist, tafuta jina jingine.Kwani huyu anaamini katika nguvu za shetani.
Ndiyo maana nikasema hao Freemasons wako karibu na Wakristo/ Waislam kuliko inavyofikiriwa. tena ndio hao hao walioandika na ku edit biblia.
Angalia hapa mtu ana list ya Bishops, Monsignors and Cardinals of the catholic Church known to have been Freemasons.
Masons control the Vatican
Halafu ndio mtu Mkristo aje hapa kusema the ultimate goal of Freemasons ni kuwafanya watu wasimwamini mungu wakati Vatican imejaa Freemasons?
Mi naona the ultimate goal of Freemasons ni kuwafanya watu wamuamini mungu, na kupata mtu kama papa kusadikika kama muwakilishi wa mungu duniani.
Mtu yeyote anayejua human psychology atajua ni rahisi zaidi kupata unachotaka kwa kutumia authority ya mungu. Binadamu alivyo anataka kuamini katika authority, and nature abhors a vacuum, so ukimwambia hili neno la mungu ndio njia nyepesi kabisa ya kutawala mawazo yake.
Sasa kama Freemasons wanataka kutawala dunia, kwa nini wasiitumie hii njia nyepesi kuwatawala watu?