Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Ukiwa politically correct ,utatumia darubini kutafuta kilicho chema ktk hizi imani za kiafrika.The issue ni kuwa Baregu ana invest ktk wrong project.
- Km ni spirutuality Christianity ya Jesus ilikuwa hiyo kwani alichokuja kamilisha nacho Torat ndicho hicho.Yaani alihamisha mtazamo wa kuangalia kosa likiwa limefanyika na kuhamishia watu ktk kuzuia mambo yanayopelekea kufikia dhambi.Aliwaondoak watu toka kufanya ibada kwa kueleke vitu.Ikiwepo Milima ya Sinai(alipopewa musa Agano), na Yerusalem lilipokuwa Hekalu.
- Km ni suala Mungu african traditions kutoa machache km masai(ingawa nao hawana clear picture ni yupi) wana imani, vitu km Mungu. Mizimu(ambao ni Binadamu mfu,asiye na uwezo wa kushinda kifo), Na phusical objects.So tayari anajicontradict(Mungu mmoja) halafu unataka accomodate imani zinazobeba miungu kibao na nyingine zinaambudu vitu weak sana na vya kipuuzi.
- Kuna jamaa ametaja communism km sehemu(katumia depatment) ya ushetani(hapa katumia freemasons), hii imekuwa ni imani ya wasomi wengi na hata wahubiri wa kimarekani na marais wa marekani walio na misingi thabiti ya Ukristu walilifahamu hilo.Bahati mbaya sisi hatukulijua ndio maana hatujui wapi tulipopotea.Na hii notion in nguvu sana, na ukweli ndani yake.Utaona communist countries hazitaki Ukristu zaidi. wanajua Mungu atakuwa beyond state, wanajua binadamu ni selfish, na Mungu alipommilikish Abrahamu nchi alimwambia ni yake (siyo yenu), Wakristu wanaamini ktk Mungu.wao wanataka watu waamini ktk Dola kutatua kila tatizo(sisemi mahali dola ni Tatizo Km Tz na inahitaji tolea) .Ujamaa na Ukomunist una angalau mambo haya:
-Kutaka tawala fikra za watu.(kwa kuweka mipaka ya taarifa-angalia uhuru wa habari ktk nchi yoyote ya kijamaa dunia hata leo Urusi, uchina, Cuba, north korea, Tz, saudi, Sudan,Soamalia, iran etc.)
-Kutaka tawala maisha ya nje ya kila raia.(uvaaji, umiliki wa rasilimali) kuanzia kuishi ktk familia hadi maisha binafsi ya mtu.
- Wanapenda jenga vitisho ili kuleta hofu n akufanya watu waabudu state( na baadaye viongozi wake, angalia uchina na Korea watu wanaabudu kabisa viongozi waasisi wao)
Kuna mtu mwingine kasema hapa jamvini kuwa Chritianity ni ya Europe, Nadhani naye atasema Islam ni ya Europe.Kwani Uislam Ulipata nguvu ni ulipoingia Turkey(Turkey haipo rasm ktk jumuia ila ni sehemu ya Mabara mawili).Wafuasi wa Yesu ote walikuwa wayahudi Include Yeye mwenyewe.Ila ulipat nguvu baada ya Kuchukuliwa na wasomi wa Kigiriki na watawala ya Dunia ya kipindi Kile ambao walikuwa ni Warumi.
Tatizo alilonalo prof ni influence za kijamaa na kutoweza tenganisha ukristuw ake na mzungu.Ni kushindwa jua njia nyingi anazoweza tumia mzungu tawala dunia. wazungu wana brand(Nike, BWV, Boeing, wan bekham, wan Tiger Woods, walikuwa na akina Tyson, wan Jerem Lin, wana google,wana faceboook, twitter,wana Ipad, etc,wan CNN,weakleaks),anabaki kuwa victim wa communism.Mwl mwenyewe alikiri ujamaakushindwa kwa lugha ya kijanja ii aepuke changanya watu.Ndio maana wasomi wetu na viongozi wetu wapo ktk wrong tracks mara zote hasa linapokuja ktk kuangalia vitu kwa makini kimataifa na kitaifa.
mfano.
-Suala la libya akina Membe hata na wasomi wetu hawakulingalia vyema(Na ndio maana Salim A hakuweza pita ktk kuutafuta ukatibu wa UN).
-Suala la mashariki ya kati.
-Suala la N korea.
-Ktk suala la human rights.
Sasa km Kikwete anampeleka balozi wa Vatican Mwislam,na Saudi Arabia Mwislam.Wakati US walimweka Obama ktk enzi Watu wanagombania resources za Africa, wanampeleka mzaliwa wa Korea Kusini ktk bank ya Dunia.Wanao masupa star wa Kichina(HongKong,Taiwanese,na mainlanders) ktk NBA , wanafacebook,twitter,utube google (ina kila kitu wanachohitaji wapanga sera washington na kwa malkia), hawajapata picture kwa nini Vatican wana Telescope yao ya kunagalia anga za mbali wakati Muslims &Arabs wanatafuta silaha.
Napata shida kuelewa watu bora ktk ya wasomi wetu wanaweza tupaa nini(Hawa jamaa hawajui kila kitu unachokifanya kwa taifa unahitaji angalia beyond the box n aikibidi kila risasi ilenge zaidi ya ndege mmoja).NIMEWEKA THREAD INAYOHUSU VIONGOZI NA WAANDISHI WETU NA UWEZO WAO WA KUKUTA NA maswali magumu, maswali yanayoudhi ila yanalenga jibu yaliyopo moyoni kwa watu wengi.