Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

[h=2]
icon1.png
[/h]
quote_icon.png
By jaston binala
Nakubaliana kabisa na wewe Shardcole. Mungu yupo, na ni Mungu mwenye nguvu. Swali: How should we believe in this God? Through churches and mosques? au?






Through your own mind!


Hii nimeipenda!
 
Kuikana bible wewe ni ant crist n may b u ar frmsn

Nilishawahi kusema hapa kwamba ukielewa vizuri imani ya mungu, wanaoamini mungu wako karibu na u Freemason kuliko wasioamini mungu.

Kwanza wote wanaamini mungu. Kwa mfano Freemasons wako karibu na Wakristo/ Waislam kuliko atheists, kwa sababu Freemasons/Wakristo/Waislam wote wanaamini mungu. Atheists hawaamini mungu.

Halafu Freemasons wanaweza kujisema kwamba wako benevolent kuliko Wakristo/Waislam kwa sababu wanaamini katika kujumuisha watu wa dini zote wanaoamini mungu. Wakristo na Waislam hawana benevolence hii kwa sababu wote wana declare monopoly kwa mungu, waislam wakisema hakuna mungu ila allah, na Muhammad ndite mtume wake wa mwisho, wakristo wakisema njia pekee ya kufikia uzima ni Yesu. Freemasons wanawakumbatia wote.

Hiyo biblia yenyewe imeandikwa na waliokuja kuwa freemasons, sasa kama wewe Mkristo kwa mfano unaita atheists freemasons wakati biblia yenyewe imeandikwa kwa censorship kuondoa mambo mengi na umeachiwa waliyotaka uone hao Freemason's predecessors, walio aim ku control dunia, nakuona huna uelewa wa mambo mengi sana.
 
ha ha ha! Heshima mkuu kiranga! Even if commnt yako ni non sense but umenichekesha sana and u made my night funy,
Tanx a lot mkuu!

Swali serious sana hilo, kama umeliona la kuchekesha ni kwa sababu tu ushazoea kuchekelea mambo ya hatari.
 
Wewe unaonekana ama ni mkristo ama ni muislamu. Umejinyima nafasi ya kukubali kuwa Mungu anaweza akawa na fomular tofauti ya kumuelewa. Si lazima fomular hiyo iwe ni ile ya Biblia au Qur an. Unweza ukute fomular ni kufanya ibada chini ya miti mikubwa. Funguka uwe open minded. Mungu yupo alright. Kuna ulazima gani awe ni huyo anayetajwa na Wakristo? Au yule anayetajwa na Waislamu, mungu ambaye ni kwa maono ya culture tatu tu za binadamu: Myahudi, ambaye ndiye alibuni wazu la huyo Mungu kwa mara ya kwanza, kisha culture za Wazungu na Waarabu waliopokea huyo Mungu wa Wayahudi na kukarabati namna ya kumfikia, kila mtu kadri ya taratibu za mila zake.

Mungu ana taratibu zake,ila kusali chini ya mti mhhhh!!!
 
Wewe unaonekana ama ni mkristo ama ni muislamu. Umejinyima nafasi ya kukubali kuwa Mungu anaweza akawa na fomular tofauti ya kumuelewa. Si lazima fomular hiyo iwe ni ile ya Biblia au Qur an. Unweza ukute fomular ni kufanya ibada chini ya miti mikubwa. Funguka uwe open minded. Mungu yupo alright. Kuna ulazima gani awe ni huyo anayetajwa na Wakristo? Au yule anayetajwa na Waislamu, mungu ambaye ni kwa maono ya culture tatu tu za binadamu: Myahudi, ambaye ndiye alibuni wazu la huyo Mungu kwa mara ya kwanza, kisha culture za Wazungu na Waarabu waliopokea huyo Mungu wa Wayahudi na kukarabati namna ya kumfikia, kila mtu kadri ya taratibu za mila zake.

Unajuaje kwamba mungu yupo?
 
Imani ni kubwa kuliko kuwa na dhehebu lolote mbona tumeona watu wenye madhehebu yao ni wezi wa mali za umma na hawana huruma na mayatima, akina mama wajawazito na watoto na wenye shida?
Ni wangapi madaktari wasio na dini? Mbona hawaoni huruma kwa wasio na uwezo wa kuwapa ahsante/rushwa?
Ni wangapi wafanyakazi wa umma wasio na dini? Mbona wizi/rushwa inashamiri?
Ni wangapi viongozi wa nchi hii waliopita ambao hawakuwa na dini? Mbona wameingia na wanaendelea kuingia mikataba ya kinyonyaji na kuwauwaua wanyonge?
Ni askari polisi gani wa nchi hii aliyeapa bila bibilia/msahafu mbona wanaendelea kuua raia wasio na hatia na kuwabambikia kesi?
Je hujaona Wizi wa mali za umma unavyohalalishwa na makanisa na misikiti kwa mwizi mwenye dhehebu la dini kwa kutoa sadaka na kuitwa kuchangisha wezi wenzake ili wasafishike mali zao?
Mimi naona ni bora kwa mtu kuwa muwazi kuwa hana dhehebu na ili afanye kwa hiyari na akikosea tujue yeye hana somo la dini yake na alichagua imani ya mababu zetu kwani hatutamlaumu
Je yanayofanyika sasa yanatofauti gani na enzi za mababu zetu walivyoingia miktaba na sasa? Mababu zetu hawakuwa na dini je viongozi nao hawana dini? mbona hawatambiki/kufanya matambiko kama walivyofanya mababu zetu?
Je huoni dhuluma ya maeneo ya madhehebu juu ya viwanja vyao? Je waliouza hawasali katika makanisa/miskiti hiyo?
Tuache kudanganyana nchi haina dini na viongozi hawana dini "BORA KUWA WA MOTO KULIKO KUWA WA UVUGUVUGU NA USIONYESHE ASILI YAKO NI VIZURI UONYESHE UPENDO KWA UNACHOKIAMINI KUWA NI KWELI"
 
"muda mwingine ukimya ni jibu tosha kwa mpumbavu kama ww"

Muda mwingine mpumbavu huficha upumbavu wake kwa ukimya, na kumuita mwenzake "mpumbavu".

Kama ukimya ni jibu tosha kwa upumbavu wangu, umeshindwa kunipa jibu hilo maana umenijibu.

Nani mpumbavu hapa sasa?
 
The notion that Christian GOD exist came from Europe
The notion that Islam ALLAH exist came from Middle east
The fallacy that GOD does not exist came from abroad (Europe, America etc)

So whether you believe or not believe you are still under the influence of Europe or America. Usitudaganye wewe bado ni mtumwa wa fikra za hao hao wazungu, hata hiyo statement ya kuhusu nini unaamini tushaiona kwa ''wazungu'' kibao........wasioamini. Ungesema unaamini mizimu angalau ungekuwa na hoja...

Mi naamini Prof. ana kitu anakificha maana kama ni imani yake hiyo basi tujue kuwa dini na maadili ni ndugu na kama ni uchakachuaji wa maadili si kwa sababu ndiyo lengo la dini. Kuna watu wanatumia dini vibaya na wako wanaotumia dini vizuri na wakawa faraja kwa jamii na kwao wenyewe. Bado naamini Tanzania inahitaji kiongozi mcha Mungu na mwenye kuogopa pia uwepo wa Mungu. Asiyeamini katika Mungu anaamini anaamini katika akili yake na kichwa chake na huo ni UDIKTETA Mkubwa.
 
Mi naamini Prof. ana kitu anakificha maana kama ni imani yake hiyo basi tujue kuwa dini na maadili ni ndugu na kama ni uchakachuaji wa maadili si kwa sababu ndiyo lengo la dini. Kuna watu wanatumia dini vibaya na wako wanaotumia dini vizuri na wakawa faraja kwa jamii na kwao wenyewe. Bado naamini Tanzania inahitaji kiongozi mcha Mungu na mwenye kuogopa pia uwepo wa Mungu. Asiyeamini katika Mungu anaamini anaamini katika akili yake na kichwa chake na huo ni UDIKTETA Mkubwa.

Hata Harun Rashid alikuwa "mcha mungu" na akaua watu kidikteta kwa jina la mungu.

Kina George Bush wamejifanya walokole huku wanapiga vita za deal za kumegeana na Halliburton.

Mustafa Kemal Ataturk alikuwa Mturuki secular, kaendesha nchi kwa misingi ya secularism, mpaka leo Uturuki wanamuheshimu.

Kwa hiyo hii habari ya "kumcha mungu" ni charade tu. Tushaona kina Mkapa wanahamisha kanisa kutoka kikao cha Whisky Palm Beach Hotel kwenda St. Immaculate Church, only to move back to the Whisky club after his terms were over.

Dini inatumiwa tu na wanasiasa tangu enzi za mafarao na wababeli na wachina waliojidai kutawala kwa "mandate of heaven". Hakuna kipya katika dini zaidi ya manipulation ya kutaka kumfanya binadamu hawezi kitu bila miujiza isiyokuwepo.
 
Swali serious sana hilo, kama umeliona la kuchekesha ni kwa sababu tu ushazoea kuchekelea mambo ya hatari.

ndo ubaya wa shule za kata, kwani hata mawazo yako yamekaa kikata kata.
 
Muda mwingine mpumbavu huficha upumbavu wake kwa ukimya, na kumuita mwenzake "mpumbavu".

Kama ukimya ni jibu tosha kwa upumbavu wangu, umeshindwa kunipa jibu hilo maana umenijibu.

Nani mpumbavu hapa sasa?

dah! Ndo tatizo la shule za kata kwani maswali yako 2 yamekaa kikata kata.
Uje ujitahidi basi hata watoto wako uwapeleke angalau shule za seminary ili nao wasije wakarithi ukilaza kama wa baba yao.
 
Huyu dingi anashangaza sana ni wazi kwamba CHADEMA walishinda kwa sababu wana MUNGU na CCM wana FEDHA iweje tu baada ya Uchaguzi baregu anamkataa Mungu aliyeipa CDM ushindi Arumeru? Falsafa yake ya kipagani abaki nayo humo humo ila akija Arusha ambako watu wengi wanamheshimu Mungu hatapata support ya upagani wake. kam siyo mnafiki na wakutaka kumfurahisha Devil basi angekuja na kitabu cha hiyo dini yake ili tujue anachokiamini. Lazima at some point binadamu walikuwa wanaamini kitu, iwe miti, mawe n.k. kama ana ujasiri angeleta hata jiwe au kipande cha mti basi tujue anaamini nini?. kwa hili prof. anaonekana kuyumba simpi support hata kidogo na CDM katu msiendekeze hii imani ikataeni kwani ni KWA SABABU YA KUMTUMAINI MUNGU MMEFIKA HAPO MLIPOFIKA. Mkikosea kumfuatisha Baregu mtatetereka within no time. Lets keep our faith on God tuache ujinga.
Ukisoma tena topic, utaona kwamba Baregu Hajamkataa Mungu.
 
Jamani,hivi ni lazima kuandika kwa Kiingereza.Kwanini usitumie lugha unayoiweza?
Hii imetoka kwenye gazeti la kiingereza. Mleta mada kashindwa kuitafsiri kwa kiswahili..
 
Hata mimi nime-share baadhi ya aspects na mzee huyu. Maana dini bana ina ukingo wake katika kuelezea ilivyolivyo.
 
"I was baptized a Catholic when i was young at school..i wouldnt want to be hyprocrite as i believe God is there(is sovereign and exists), not in the house of bibles or Qurans..i ve never been doctrinaire for Christianity or any religion from abroad, i believe in a lot of things in Africa..Africans ve abondoned their indigenous spiritualism from their own 'Gods' and what they do now is nothing other than hyprocricy..

There is spiritual push from the devevoloped world but still some respect their denominations.For
example, Hinduism is still playing a big role and most respected by Indians communities."

Baregu subsribes to humanity,justice,equality ,clean environment, fairness and equity,between community and conscious building.
Source:The African,Monday,April 16 2012.

Bila shaka tumepata na upande wa pili na sasa maswali yanaweza kupungua.
Am interested in knowing how the professor has endocrinate his off springs into his subscription and promote their spiritual and their morals well being.
 
Back
Top Bottom