Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,146
hiyo sio sheria ni uonevu tu, ila Profesa imebidi awe mpole check alivyotulia kapiga mpaka kishoka kabisa...
Huyo demu ukiangalia vizuri kamwonyesha kidole prof
hiyo sio sheria ni uonevu tu, ila Profesa imebidi awe mpole check alivyotulia kapiga mpaka kishoka kabisa...
Huyo demu ukiangalia vizuri kamwonyesha kidole prof
Afadhali wamkomoe tu huyo prof, wewe unaacha kufundisha unaenda kwenye kazi za porojo! Ngoja 2015 tumdisco tena kwa kura.
Prof. amejidhalilisha, he can serve the country better, if he goes back to were he belongs!
kwa elimu yake ya form 4 anaona amefanikiwa kumweka prof chini ya ulinzi
Poor thinking.kwa hiyo Nyerere alipoingia katika siasa haikuwa sahihi ?.mbona mnamtukuza hadi leo ?
Kweli sheria haina masihara...
View attachment 222279
daah...kweli uongozi hauji kirahisi
Halafu kamnyooshea dole la katikatumwa...
Poor thinking
Halafu kamnyooshea dole la kati
Kweli sheria haina masihara...
View attachment 222279
Unaweza ukawa ww ndie mpumbavu kuliko wapumbavu wote Tz. Ulichofurahia ni nini sasa. Pof. kupigwa au www kulalia chai na andazi. NyambafYaani nimefurahiii kuchapwa huyu prof! Arudi chuoni kifundisha ndiyo fani yake!
Twende taratiiibu, acha hasira, naona unaka uwezo kidogo, Nyerere aliajiriwa na wakoloni na nji ilikuwa inatawaliwa na wadhalimu so ilikuwa ni duty ya kila mwananchi kuikomboa nji yake. Mpendwa unaweza ukaniuliza swali lingine
Huyu Mwanamke (aliyebeba gobori) mbona yuko "ki-shari" zaidi?
![]()
Mfamaji umenifurahisha kweli kweli! Hivi huoni huyu prof anatumia vibaya kipawa chake? Badala ya kufundisha watalaam yeye anajiunga na makundi ya waendesha majungu (wanasiasa)? Apigwe tu na tena wange mvunja miguu yote na mikono ajifunze!Unaweza ukawa ww ndie mpumbavu kuliko wapumbavu wote Tz. Ulichofurahia ni nini sasa. Pof. kupigwa au www kulalia chai na andazi. Nyambaf