Sabo machine gunHivi hiyo bunduki alioshika huyo dada ni ya aina gani?
Sabo machine gun
Huyu Mwanamke (aliyebeba gobori) mbona yuko "ki-shari" zaidi?
[/QU![]()
OTE]
......huyo shorii kabeba kitu asichokijuwa
Siku hizi tuna askari wakizungu?
Mfamaji umenifurahisha kweli kweli! Hivi huoni huyu prof anatumia vibaya kipawa chake? Badala ya kufundisha watalaam yeye anajiunga na makundi ya waendesha majungu (wanasiasa)? Apigwe tu na tena wange mvunja miguu yote na mikono ajifunze!
Huyu Mwanamke (aliyebeba gobori) mbona yuko "ki-shari" zaidi?
![]()
Afadhali wamkomoe tu huyo prof, wewe unaacha kufundisha unaenda kwenye kazi za porojo! Ngoja 2015 tumdisco tena kwa kura.