Prof akiwa kwenye pila

Prof akiwa kwenye pila

Anamwambia Prof. 'mimi ni demu tena wa kidatocha nne nimekutiisha wewe dume profeseri wa kimataifa, na ukileta fyoko... uliza mke wa marehemu huko iringa kazi zetu...'

Ahaha.. Halafu huyo dada ndio alikua chanzo cha prof kua mpole vile..
 
Hili tukio leo limekinukisha bungeni hadi bunge limeahirishwa.
 
Muangakieni vizuri kidole chake hiyo ishara si ni Tusi au
 
Me nashangaa polisi wetu wanapenda sifa kupitia upinzani, wamemdhalilisha prof sana

Prof. amejidhalilisha, he can serve the country better, if he goes back to were he belongs!
 
Halafu hilo si la kufyatulia mabomu ya machozi. Likifyatuka hapo na hiyo distance kwa prof ni kama ya Mwangosi.
 
kwa elimu yake ya form 4 anaona amefanikiwa kumweka prof chini ya ulinzi

siwaungi mkono polisi kwa hayo wanayofanya lakn mkuu kufeli elimu sio kufeli maisha anaweza kuwa 4m4 lakn ana nyumba biashara na usafiri. Binadam hatuwez kuwa sawa hata siku moja
 
Huyu Mwanamke (aliyebeba gobori) mbona yuko "ki-shari" zaidi?
attachment.php

Huyo si WP bali Mwanaume kutoka moja ya mikoa ya kaskazini
 
Watanzania tutaishia kulialia siku zote lakin haya yote yapo ndan ya uwezo wetu. Tatizo sis ni waoga sana. Hvi chukulia tukaandamana nchi nzima polis gani atathubutu kurusha bom?
Au tukaandamana na watoto tukawatanguliza hivi ni polis gani atathubutu kurusha bom?
Hivi tukiamua kufanya maandamano kama yale ya vimbag nani atathubutu kuvurumusha risasi?
 
Anamwambia Prof. 'mimi ni demu tena wa kidatocha nne nimekutiisha wewe dume profeseri wa kimataifa, na ukileta fyoko... uliza mke wa marehemu huko iringa kazi zetu...'

hahahahaa...kama kuna ukweli flani hivi....
 
Halafu hilo si la kufyatulia mabomu ya machozi. Likifyatuka hapo na hiyo distance kwa prof ni kama ya Mwangosi.

ndio vyombo vyetu vya dola vinavyofanya kazi...
 
Watanzania tutaishia kulialia siku zote lakin haya yote yapo ndan ya uwezo wetu. Tatizo sis ni waoga sana. Hvi chukulia tukaandamana nchi nzima polis gani atathubutu kurusha bom?
Au tukaandamana na watoto tukawatanguliza hivi ni polis gani atathubutu kurusha bom?
Hivi tukiamua kufanya maandamano kama yale ya vimbag nani atathubutu kuvurumusha risasi?

Utafanya vizuri kama watoto wako watakuwa msitari wa mbele kabisa
 
Back
Top Bottom