Product rule.... !!! Wale wazee wa mambo yetu.

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
uploadfromtaptalk1471627224916.jpg
 
Halafu ukiisha kui solve ufanye nayo nini wakati sijui ntakula nini leo na asubuhi sina uwezo wa chai. Mpelekee mzee wa mikasi naskia amebobea kwa mambo ya nuc
 
uwezi kufanya product rule bila kufanya chain rule kwanza Hesabu ni mchezo mtamu ukizijua mpaka raha hahahahahaa
 
nnacho kifahamu (malengo + imani + matendo )Mungu = Mafanikio. izo hesabu zingine mbwembwe 2 kama unataka kuprove nipe swali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom