Hi friends, i have a problem with my Urinary system, nimekaa nalo muda sasa sababu ni kutokujua rafiki zangu. I always feel pains when i'm on short call. and i i have been consulting various doctors lakini bado sipati tiba sahihi.
historically,
nimeishi shinyanga,baade mwanza then niko dar saizi, niliugua kichocho mara kadhaa nikiwa shinyanga kijijini kwetu ambapo matibabu hayakuwa mazuri sana, lakini dozi nilizokuwa napewa zilikuwa ni underdose kwani baadhi ya waste product hazikutoka wakati natumia hizo dawa matokeo yake kuna kipindi nilikuwa nawashwa chini chini, hadi nikaanza kusikia maumivu ambayo nayasikia saizi. na tatizo lingine ambalo nadhani linasababishwa na hilo ni diabete/Kisukari kwani mfumo wa mkojo haufanyi kazi vizuri kwa hiyo baadhi ya vitu havitoki nje vinarudi bdani ya mfumo wa damu.
Jamani nisaidieni, sina amani.