Pascal Mayalla na Voices from within, Je ni utabiri au ndio ukweli halisi

Pascal Mayalla na Voices from within, Je ni utabiri au ndio ukweli halisi

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,657
Maandiko mengi ya Pascal Mayalla anayoyaita voices from within mengi yamekuwa kweli isipokuwa lile alilosema Marehemu JPM yupo sehemu safi huko tusikojua kwa akili za Kawaida za kibinadamu hakuna anayejua mambo ya wafu na maisha baada ya kifo, Hii voices kuhusu JPM Marehemu iliniacha na mshangao mkubwa kuwa yupo sehemu safi huko aliko.

Pia kuna issues za Negativity juu ya Chadema na uchawa ili ateuliwe ccm huwa zina acha mshangao kwa wengi hapa JF na kumshushia heshima yake.

Voices from within za Pascal sio voices from within au inner feelings bali ni taarifa kamili na Tips za mipango ambazo kikundi fulani kinaratibu halafu Pascal Mayalla anatumika kuwakilisha kama Fasihi andishi.

Hakuna kitu cha bahati mbaya hapa duniani iwe vita ya Ukraine na Russia au Nani alitakiwa kuwa Rais wa Kenya kati ya Ruto na Odinga. Mingi ni mipango ya watu, Hata ukilazimisha kuongoza kwa nguvu kuna siku wapangaji watakamilisha mipango yao kwa kukuondoa.

Hii Dunia ina watu wengi lakini wanaotuongoza na wenye nguvu za ajabu ni wachache sana, Hawa ndio waleta korona na series zake, Hawa ndio watengenezaji wa vitu vya ajabu kwa malengo binafsi, Hawa ndio wanaimiliki hii dunia huku wakiwa na wawakilishi karibu kila nchi.

Kuna watu Wanatumika hapa Duniani bila wao kujijua, Yawezekana Pascal analetewa Tips akiwa bar na John walker mkononi halafu Yeye anaandika hapa JF bila kujua ni uhalisia utatokea.

Kuna issues kama za JPM kuwa Rais alizileta hapa 2014 na alitukanwa na kila mtu, Lakini JPM akawa Rais 2015.

Kuna issues za Samia kuwa Rais 2020 alizileta hapa mwaka 2017 lakini zikafanikiwa March 2021.

Kuna issues za Tulia Ackson kuwa Spika 2021 alizileta hapa 2020 na kumshauri Ndugai aache ikatokea 2022.

Mwaka huu anazidi tena kuota Husein Mwinyi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano kuanzia 2025.

Hii ya Rais Mwinyi, La hasha sio voices from within, Kwa Trend ya wakati ule na sifa alizomwagiwa na JPM wengi walijua how the trend will be.

Kuhusu JPM kuwa ataondoka, Ushahidi huu hapa, Mchangiaji mmoja alimuonya kwa kauli aliyoisema "To be
honest I wish....... ili Samia awe Rais.

Screenshot_20220827_172722_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Yawezekana yupo sawa,
Magufuli yupo sehemu safi
Kutokana aliishi maisha ya Kikristo toka udogo wake
 
Nimetoka kapa
Sio kila kitu kinachoandikwa au kusemwa hapa JF lazima ukielewe

Lazima ujifunze kusoma mambo between lines,

Unafahamu lengo la mleta uzi? Hawezi kukutafunia kama mtoto wa kindergatten

Wewe Itakuwa Umezoea umbea umbea, Watu wambea ni ngumu kuelewa mambo kwani mnasoma juu juu au kusikiliza juu ili upate umbea wa kusimulia

Sasa kama hujaelewa si ungeenda kulala kimya kimya
 
Maandiko mengi ya Pascal Mayalla anayoyaita voices from within mengi yamekuwa kweli isipokuwa lile alilosema Marehemu JPM yupo sehemu safi huko tusikojua kwa akili za Kawaida za kibinadamu hakuna anayejua mambo ya wafu na maisha baada ya kifo, Hii voices kuhusu JPM Marehemu iliniacha na mshangao mkubwa kuwa yupo sehemu safi huko aliko.

Pia kuna issues za Negativity juu ya Chadema na uchawa ili ateuliwe ccm huwa zina acha mshangao kwa wengi hapa JF na kumshushia heshima yake.

Voices from within za Pascal sio voices from within au inner feelings bali ni taarifa kamili na Tips za mipango ambazo kikundi fulani kinaratibu halafu Pascal Mayalla anatumika kuwakilisha kama Fasihi andishi.

Hakuna kitu cha bahati mbaya hapa duniani iwe vita ya Ukraine na Russia au Nani alitakiwa kuwa Rais wa Kenya kati ya Ruto na Odinga. Mingi ni mipango ya watu, Hata ukilazimisha kuongoza kwa nguvu kuna siku wapangaji watakamilisha mipango yao kwa kukuondoa.

Hii Dunia ina watu wengi lakini wanaotuongoza na wenye nguvu za ajabu ni wachache sana, Hawa ndio waleta korona na series zake, Hawa ndio watengenezaji wa vitu vya ajabu kwa malengo binafsi, Hawa ndio wanaimiliki hii dunia huku wakiwa na wawakilishi karibu kila nchi.

Kuna watu Wanatumika hapa Duniani bila wao kujijua, Yawezekana Pascal analetewa Tips akiwa bar na John walker mkononi halafu Yeye anaandika hapa JF bila kujua ni uhalisia utatokea.

Kuna issues kama za JPM kuwa Rais alizileta hapa 2014 na alitukanwa na kila mtu, Lakini JPM akawa Rais 2015.

Kuna issues za Samia kuwa Rais 2020 alizileta hapa mwaka 2017 lakini zikafanikiwa March 2021.

Kuna issues za Tulia Ackson kuwa Spika 2021 alizileta hapa 2020 na kumshauri Ndugai aache ikatokea 2022.

Mwaka huu anazidi tena kuota Husein Mwinyi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano kuanzia 2025.

Hii ya Rais Mwinyi, La hasha sio voices from within, Kwa Trend ya wakati ule na sifa alizomwagiwa na JPM wengi walijua how the trend will be.
Mkuu Shamba la Mbegu, seedfarm, huu ulikuwa ni utabiri tuu!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Kufuatia taarifa hii
Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.

Naomba kutumia fursa hii kukumbushia kuhusu hizi voices from within ni sauti za nani
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kukuambia sababu za jambo hilo, na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu kile nilichosikia kwenye sauti hiyo niliyoisikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti za "Voices from Within", yaani sauti toka ndani yako!, the inner you. The inner you ya kila mwanadamu ni YEYE aliyemuumba na kumpa uhai, yaani YEYE ambaye ni YEYE, ila ndani ya kila mwanadamu, pia kuna yeye ambaye sii YEYE. Huyu yeye ambaye sii YEYE, na anakaa sambamba ya YEYE ambaye ni YEYE, siku zote anapenda sana kuji disguise kuwa yeye ndiye YEYE, lakini ukweli huyu yeye, sii YEYE!.

Hili la YEYE na yeye, nimewahi kulihubiri sana humu na kuwasaidia watu jinsi ya kumtambua YEYE halisi ambaye ni YEYE na kumtofautisha YEYE ambaye ni YEYE halisi na yeye fake ambaye sii YEYE but disguised as YEYE, nimelifundisha humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Sasa kwa vile yeye fake ambaye siye YEYE, huweza kujipenyeza kule kule ndani yako kwenye the inner you na kujiposition kama YEYE na kutoa sauti, ukadhani ni YEYE kumbe sii YEYE bali ni yeye tuu!, hivyo hii sauti niliyoisikia kama ni sauti ya kwake YEYE, mwenyewe the original "The One and Only" then 2025 hili lazima litatimia!, ila kama ni sauti ya yule yeye, then halitatimia!.

Paskali

Hivyo sasa Kazi Iendelee!.
P
 
Back
Top Bottom