Tukubaliane kutokubaliana tu. Matokeo ya mitihani yote hadi chuo kikuu yatangazwe hadharani kwa TANZANIA hii.Naona bado huelewi tofauti ya usiri na faragha!
Tukubaliane kutokubaliana tu. Matokeo ya mitihani yote hadi chuo kikuu yatangazwe hadharani kwa TANZANIA hii.Naona bado huelewi tofauti ya usiri na faragha!
Hata hivyo, kuanika majina ya watoto ktk magazeti, mtandao na kadhalika ni kuvunja haki na Uhuru wa mtoto huyo ambaye bahati mbaya sheria haikumtazama yeye. Unapokwenda ktk gazeti na kutafuta majina ya waototo majirani au marafiki inakusaidia nini wewe msomaji?.. Hii inaonyesha wazi jinsi tulivyokuwa wadaku na tabia za kishenzi hadi ktk sheria zetu kutaka kujua mambo ya watu wengine wakati yetu wenyewe yametushinda.
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to see results of other students and a daughter of President of URT being disclosed without approval from a person concern.
Of course this does not mean that right to privacy is not recognized in Tanzania. The United Republic of Tanzania (URT) Constitution of 1977 as amended form time to times defines privacy as follows:
Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications
Article 16(2) goes further stipulating that:
For the purpose of preserving the persons right in accordance with this Article, the state authority shall lay down legal procedures regarding the circumstances, manner and extent to which the right to privacy, security of his person, his property and residence may be encroached upon without prejudice to the provisions of this Article
Article 16(1) and (2) of United Republic of Tanzania Constitution of 1977 as amended from time to time provides for right to privacy. Article 16(2) of URT constitution provides for possibility of other laws to encroach the right to privacy. The said article stipulates clearly that the law maker will enact law to stipulate how privacy right may be protected, pursued or encroached by government agents.
Mytake; Mwanaasha atashitaki Necta?
:nerd:
Nawakilisha
Tukubaliane kutokubaliana tu. Matokeo ya mitihani yote hadi chuo kikuu yatangazwe hadharani kwa TANZANIA hii.
Magazeti yote yangetoka na Kichwa cha Habari
MTOTO WA JK HAKAMATIKI
1. Afanya kweli mtihani wa Kidato cha Nne
2. Adai anafata nyayo za Wazazi wake
3. Awataka wenzake wasibweteke
Mkuu tunarudi pale pale
Sheria inayosimamia bank inasema wazi kuwa mambo yote yanayohusiana na account za mteja ni siri ya bank na mteja na hairuhusiwi kutolewa kwa mtu wa tatu ila kwa kibali cha mahakama
Sheria iliyoanzisha NECTA haijasema hayo wala hakuna kipengele kinachosema kuwa matokeo ya mitihani ni siri ya NECTA na mwanafunzi na hairuhusiwi kuyatoa
may be ipigwe kelele kuweka kipengele kuwa baraza haliruhusiwi kutangaza matokeo ya mtu yoyote bila ridhaa yake
Mking'ang'ana matokeo ya mitihani yafanywe siri mtaona watakaojiunga na A-LEVEL na hatimae VYUO VYA ELIMU YA JUU ni akina nani. Mimi nataka uwazi zaidi hata kwenye SIASA. "Private lives" za wanaotaka kuwa VIONGOZI wetu zianikwe hadharani.
Mkuu hivi unapolisoma jina la mtu akapata div 1 au div 4 ktk gazeti kuna uwazi gani unaopata?. Kama ni kuopanga matokeo inafanyika kabla hayajatangazwa. Uwazi unatakiwa kule kwenye kusahihisha mitahani na majibu yenyewe maana unachosema wewe ni bora tutangaziwe ushindi wa Mbunge pasipo kujua ameshinda shinda vipi.Mking'ang'ana matokeo ya mitihani yafanywe siri mtaona watakaojiunga na A-LEVEL na hatimae VYUO VYA ELIMU YA JUU ni akina nani. Mimi nataka uwazi zaidi hata kwenye SIASA. "Private lives" za wanaotaka kuwa VIONGOZI wetu zianikwe hadharani.
Siku zote mlikua wapi msilione na kulilalamikia hili? Mmeanza kulalamika baada ya mwanaasha kuumbuliwa! Mi nasema hivi sheria ni msumeno inakata pande zote si matokeo ya watoto wakina yakhe yakianikwa mnachukulia poa ila ya watoto wa vigogo mnang'aka! Matokeo yawekwe hadharani ili kesho na kesho kutwa MWANAASHA AKIWA MENEJA WA BOT TUWEZE KUMNG'OA KIRAHISI kwa historia ya elimu yake,
Angel,
Hili suala halikuanza kujadiliwa hapa leo. Hili suala limeshajadiliwa sana Jukwaa la Mambo ya Kikubwa ambapo watu sijui wanachukua picha za wapenzi wa zamani wakiwa uchi halafu wanazipost kule bila hata consent za wenye picha. This is also violation of their privacy. Ngoja ziku ziwekwe picha zako kule ndio utajua tunachoongelea hapa ni nini.
Mkuu tunarudi pale pale
Sheria inayosimamia bank inasema wazi kuwa mambo yote yanayohusiana na account za mteja ni siri ya bank na mteja na hairuhusiwi kutolewa kwa mtu wa tatu ila kwa kibali cha mahakama
Sheria iliyoanzisha NECTA haijasema hayo wala hakuna kipengele kinachosema kuwa matokeo ya mitihani ni siri ya NECTA na mwanafunzi na hairuhusiwi kuyatoa
may be ipigwe kelele kuweka kipengele kuwa baraza haliruhusiwi kutangaza matokeo ya mtu yoyote bila ridhaa yake
Kama kweli una nia njema naomba unitajie wanafunzi wengine japo 10 tu ambao wamepata zero na unawaonea huruma kwa matokeo yao kuanikwa hadharani
Unayoyaeleza hapa ni mambo ambayo yanatoka ndani ya mtu. Hayo kwa kweli yanahitaji usiri wa kutosha. Mitihani, interview za ajira, kufunga ndoa, kugombea UONGOZI, ... Haya hayahitaji usiri wowote hasa kwa Tanzania hii ambayo usiri kidogo tu mambo yanapindishwa kwelikweli!
Utamjuaje mtoto aliyemaliza form four mwaka jana kama anataka kuwa mwanasiasa ili tuweze kufuatilia matokeo yake? Why don't we address the root cause of the problem badala ya kuzawazisha juu kwa juu?
I am in favor ya kutumia namba kuwakilisha majina kuliko ilivyo sasa.
Hata kama disclosure ya majina isingekuwa wazi, huyo mtoto alikuwa anasoma pekee darasani? Hapana!! Basi hao wanafunzi wenzie wangeyajua matokeo yake, na kwa sababu ni mtoto wa MKULU, habari ya UFAULU wake ingesambaa kama moto wa nyika. Jamani tuwe wakweli, mimi mwenyewe mwanangu kapata Div IV ya pt.31 sasa niende mahakamani kwa sababu matokeo yake yamebandikwa mtandaoni?? Hapana. KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA!! Awe mtoto wa Mkulu ama wangu mimi, awe kasoma FEDHA (Sorry FEZA) ama Nsyasya (kama huyu wa kwangu). Tafakari, Chukua Hatua!!
Kipeng'e, hongera, kumbe na wewe you belong to the learned bothers and sisters!.It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to see results of other students and a daughter of President of URT being disclosed without approval from a person concern.