Prison breake vs into the bad land

Prison breake vs into the bad land

The Vikings ni series kali balaa, then itafuata Prison Break.

Kwenye Vikings nilichopenda ni zile busara na ujasiri wa Ragnar Lothbrok. Kabla hajafa kipindi kile anaumwa nilijisemea akifa tu sitaiangalia tena. Ila kwa jinsi walivotengeneza mazingira ya kufa kwake, natamani sana niangalie muendelezo wake.

Pia loyality ya Floki kwa ragnar naikubali sana, na pia mke mwema Lagertha japo alipoliwa na king ecbert iliniuma kinoma. Kwa ufupi ni series inayoreflect uhalisia wa maisha ya kila siku japo ipo kwa mtindo wa tamthilia. Yani ukiwa unaangalia ni kama unasoma kitabu kimoja kitamu sana.


Ila pia hakuna proof kama ragnar amekufa, maana yule seer alimwambia "you'll die when a blind man see you" ni blind man gani alimuona ragnar.? Hopefully jamaa still yupo alive.
 
Back
Top Bottom