Habari zenu wakuu.
Kwakweli kwa nafasi niliopata kazini inanilazimu niwe na printer ili nifanyie baadhi ya kazi nyumbani.
Sasa mie hizi mashine sizijui fresh, nikaona nikiingia kichwa kichwa kariakoo ntauziwa printer la stationery au printer la kitajiri lenye gharama kulitumia.
Naomba msaada ni printer ipi ndogo ndogo itanifaa na kuitumia kwake sio gharama, namaanisha iwe na gharama nafuu ya wino yaani wenu uwe unajazika mitaani na iwe inatumia chupa mbili tu za wino. Ya rangi na nyeusi.
Bajeti yangu ni 80,000 - 100, 000
Natangulisha shukrani wakuu.
Tafuta printer zinazoitwa Desktjet zilizopo nyingi ni
Za HP Deskjet 2130 au 2135 kama sijakosea bei ni kati ya 100,000-135,000 wino wake ni 40,000 mpaka 50,000 usijenunua zinazoitwa LaserJet au Deskjet hizo matumizi yake kwenye wino ni makubwa
Asante kwa ushauri mkuu.Tafuta printer zinazoitwa Desktjet zilizopo nyingi ni
Za HP Deskjet 2130 au 2135 kama sijakosea bei ni kati ya 100,000-135,000 wino wake ni 40,000 mpaka 50,000 usijenunua zinazoitwa LaserJet au Deskjet hizo matumizi yake kwenye wino ni makubwa
Hapo juu nimekosea usijenunua printer ya LaserJet au Inkjet mkuu huo wino wa 40,000 au 50,000 unaweza print hata karatasi 400 au hata rim nahisi unaweza kuwepo wino wa 30,000 ila utakua unaangukia kwenye hizo printer za Inkjet au LaserjetAsante kwa ushauri mkuu.
Na vipi siwezi pata printer ambayo wino wake ni pungufu ya 30 000
Hapo juu nimekosea usijenunua printer ya LaserJet au Inkjet mkuu huo wino wa 40,000 au 50,000 unaweza print hata karatasi 400 au hata rim nahisi unaweza kuwepo wino wa 30,000 ila utakua unaangukia kwenye hizo printer za Inkjet au Laserjet
Daah aisee huwezi amini miaka yote nilijuua kuna za aina 3 mkuu
MKUU,
HAPA ND'O UNAZIDI KUMPOTEZA MTOA MADA.
PRINTERS ZIPO ZA AINA KUU MBILI TU ;
1. INKJET (YA WINO WA MAJI)
2. LASERJET (YA WINO WA UNGA/POWDER).
HIYO DESKJET UNAYOISEMA KAMA VILE "HP 2130/2135" NI AINA YA INKJET_PRINTER PIA, KWANI ZILE CARTRIDGES ZAKE ZINA WINO WA MAJI NDANI YAKE.
INAITWA DESKJET KWA SABABU TU YA UMBO LAKE KUWA DOGO (THAT YOU CAN PLACE IT EVEN ON A DESK).
HIVYO PRINTER YOYOTE ATAYONUNUA NI LAZIMA IWE AMA INKJET AU LASERJET.
KUTOKEA HAPO ND'O AANGALIE VIGEZO VINGINE.
huzijui printer kabisa weweTafuta printer zinazoitwa Desktjet zilizopo nyingi ni
Za HP Deskjet 2130 au 2135 kama sijakosea bei ni kati ya 100,000-135,000 wino wake ni 40,000 mpaka 50,000 usijenunua zinazoitwa LaserJet au Deskjet hizo matumizi yake kwenye wino ni makubwa
Zielezee tuzijuehuzijui printer kabisa wewe
hizo deskjet ni uendeshaj wake gharama sana ina catrige 2 moja tu tsh 40 elfu..na wino wake ni kimiminika ukitumia kwa kuubania una ganda una kua haufai kabisa......mwisho wa siku 85% ya walonunua hiz deskjet huishia kutumia kama scanner...Zielezee tuzijue
"THE LOWER THE PRICE,
THE HIGHEER THE RUNNING COST
&
THE HIGHER THE PRICE,
THE LOWER THE RUNNING COST".
YAANI
KADRI BEI YA PRINTER INAVYOKUWA YA CHINI NDIPO GHARAMA YA WINO INAKUWA JUU,
NA PRINTER INAVYOKUWA UA BEI YA JUU NDIPO GHARAMA YA WINO INAPUNGUA.
KWA MFANO,
UNAWEZA KUPATA PRINTER MPYA YA "HP ALL IN ONE" KWA SH. 150,000/= TU,
ILA GHARAMA YA WINO UNAPOISHA,
UNATAKIWA UTUMIE LAKI 1 KUNUNUA CARTRIDGES ZA BLACK & COLORED,
NA ZINAISHA FASTA.
WHILE UKINUNUA PRINTER MPYA YA "EPSON ALL IN ONE" KWA 450,000/=,
WINO WAKE UNAPATIKANA HADI KWA SH. ELFU NNE (4,000/=).
MIMI NINAZO HIZO ZOTE MBILI,
ILA KUTOKANA NA SHUGHULI ZANGU ZA SASA NIMESTOP KUZITUMIA,
UKIHITAJI NICHECK.
Wanaorefill laserjet huwajui?Tafuta HP deskjet 1102 wino wake unafil tu bila shida, ukinunua hii nitakuunganisha na wanaofill at lower cost, Tshs 18000/-
Mkuu nimependa maelezo yako...nahitaji moja ambayo naweza nikaprinti hata ream mbili bila kuisha!ni ipi?hizo deskjet ni uendeshaj wake gharama sana ina catrige 2 moja tu tsh 40 elfu..na wino wake ni kimiminika ukitumia kwa kuubania una ganda una kua haufai kabisa......mwisho wa siku 85% ya walonunua hiz deskjet huishia kutumia kama scanner...
Laserjet hizi zinatumia wino wa powder catrige ina ujazo mzuri ila nyingi ni black and white hii hata wino ukae miaka mitatu hau xpai..na
kwa matumizi ya kawaida au stationery inafaa sana
kuna matoleo mapya haya ya catrige za nje ambazo ni epson na makampuni mengine kama hp na canon wameleta..hizi ni very cheep printer wino kikombe kizima cha mls 200 wino unapata kwa tsh elfu 4 tu na ina rangi nne au sita...kwa mazingira ya nchi yetu tafuta epson spea zipo nyingi na mafundi tupo wengi..
NIMEELEZA KIFUPI
hakuna ndogo zaidi?Huu ndio ukweli, kama ameelewa mleta mada, achukue hatua.
Labda kwenye pendekezo la printer
1. Kwa bajeti ya TZS350 hadi 450,000 hapo atapata EPSON L300 - ( Hii kujaza wino ni mara moja kwa mwaka - kwa matumizi ya kawaida)
2. Kwa bajeti ya TZS 550,000 hadi 800,000 - Hapo achukue L800
Hakika hatojutia.
printer za epson, kujaza wino ni approximately bei gani kwa mwaka kama matumizi yangu madogo madogoHuu ndio ukweli, kama ameelewa mleta mada, achukue hatua.
Labda kwenye pendekezo la printer
1. Kwa bajeti ya TZS350 hadi 450,000 hapo atapata EPSON L300 - ( Hii kujaza wino ni mara moja kwa mwaka - kwa matumizi ya kawaida)
2. Kwa bajeti ya TZS 550,000 hadi 800,000 - Hapo achukue L800
Hakika hatojutia.