Pride Comes Before the Fall: CHADEMA inabidi wajipange upya

Kwamba we ukitoa maoni ni raia mwingine akitoa ni interlectual wa chadema? Tafakari ujijudge mwenyewe!
Kumbe unaona kuitwa intellectual ( rekebisha spelling yako) ni tusi? Si heri mimi niliyekuita intellectual kuliko aliyeniita "idiot".

Amandla...
 
Mambo yasiwe mengi kwa sasa tusherehekee ushindi wa mama kupita bila kupingwa, mwaka 2020 alipita waziri mkuu na uchaguzi wote uliporwa, mwaka huu mama anapita na tunajua maandalizi ya matokeo kule maporini yanaendelea tuone wabunge wangapi pia watapita bila kupingwa! Mpinzani wa mama yupo gerezani, na mie ni kati ya raia milioni 60 haya ni mawazo yangu na naheshimu yako pia! Ila I can’t be fooled forever hata kama sina power wala authority
 
Naamini Lissu hatakaa sana ndani maana lengo la CCM la kutokuwa na strong mpinzani limetimia. Kwa sababu hiyo hawana sababu ya kuendelea kumshikilia.
CDM wamejikaanga wenyewe hadharani niliwahi mwambia jamaa yangu ushindi wa TAL ndiyo anguko la CDM ila hakutaka kunisikia sasa hivi tusubirie wanachama wao wakijiengua na kwenda kujiunga kwenye vyama vingine.

CCM 5 tena.
 
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.

Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.

Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.

Amandla...
Tayari hapo kinaenda kuungana na wenzao CUF na NCCR.
 
So what are you saying Fundi….that CCM played CHADEMA like a fiddle and now they’re having the last laugh?

Perhaps CCM knew all along that Lisu, if he became the chairman, would say something that would give them a reason to lock him up and bog him down with a slew of frivolous charges and thus render him ineffective in the upcoming general election.

I guess it’s about chess and not checkers.

And you are right, Freeman Mbowe is much more equanimous than Tundu Lisu.
The difference is lissu is more of direct action guy, direct confortation guy. Problem is the gov and associates are not ready for such kind of politics
So they will do everything to stop him
 
Haiwezekani vyama vyote vikawa na mtazamo sawa. Miaka mingi ingepotea kusubiri jambo kama hilo kutokea.
Sio “vyote” literally! Statistically, the majority rules. 75% ya vyama vikikubaliana, kwa mfano, kazi imeisha!
 
The difference is lissu is more of direct action guy, direct confortation guy. Problem is the gov and associates are not ready for such kind of politics
So they will do everything to stop him
Hiki kiingereza umekiandika "kwa kiswahili"
 
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.

Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.

Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.

Amandla...
Takataka hii tena uchafu
 
Takataka hii tena uchafu
Kwa sababu unaiona kuwa ni takataka na uchafu nimekuweka kwenye ignore list ili nisione majibu na michango yako. Itapendeza zaidi kama na wewe hautaona ninacho andika.
Kwaheri.

Amandla...
 
Naona wameanza kuwafukuza kwenye vikao G55. Hatua inayofuata ni kutumia nguvu kuwatoa kwenye vikao. Badala ya kujipanga kukabiliana na CCM wao wanahangaika na mtu mmoja. Hawaoni irony ya kumfukuza mtu kwa kutokubaliana na msimamo wa chama chao wakati wanawaenzi watu ambao walitumia muda mwingi kupinga msimamo wa chama chao hicho hicho!

Amandla...
 
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.

Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.

Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.

Amandla...
Hujui Dunia ,tuliza iyo brain kwanza
 
Uchaguzi ulipoisha, wenye nia njema walishauri kuwa priority ilipaswa kuwa kuponya majeraha yaliyotokana na uchaguzi. Chama chenye mpasuko ni vigumu sana kushinda. Na majeraha yalikuwa wazi kwa kila mtu.

Walioshinda hawakuona umuhimu wa kufanya hivyo kwa sababu waliamini kuwa ushindi wao ni ishara kuwa wanachama wana imani nao na sio mwengine. Ikawa ni ama unatuunga mkono au kaa pembeni wakati tunatimiza ahadi yetu kwa wanachama wetu.

Kitu kibaya zaidi wakaruhusu watu kuendelea na siasa za maji taka dhidi ya wale walioamini kuwa ni Team Mbowe. Hii ilikuwa hasa kwenye social media. Wafuasi wao wakaendelea kumzodoa Mbowe na kundi lake.

Kilele cha upotoshaji huo kilitokea Njombe ambako kuna kundi linaloamini kuwa halikutendewa haki na Mbowe na hivyo ni wakati wa kulipa kisasi. Mbaya zaidi huko huko kuna mwanachama stalwart ambae hafichi mapenzi yake kwa Mbowe. Huyu mwanachama amesingiziwa mengi pamoja na kutengwa. Hata pale alipoumizwa akiwa anataka kurudi kwenye kikao alipuuzwa. Jana nimemsikia Heche akidai yale yalikuwa maigizo na kuwa alikuwa na ajenda yake! Kama yalikuwa ni maigizo basi yalikuwa ya ajabu sana maana hakuwahi kusema kuwa CDM ndio kilimjeruhi isipokuwa ni mlinzi ambae alimtaja. Kwa vile Heche na wenzake walikuwa ndani ya kikao wakati tukio lilitokea nje ya kikao, hamna jinsi ambayo wangeona kilichotokea. Wameamini fitna za watu kwa sababu tayari waliisha mhukumu.

Kiburi ( pride) kilizidi kuonekana pale walipokataa kabisa kuwasikiliza G55 na kutaka kuwafanyia mchezo ambao wao wamefanyiwa na Tume ya Uchaguzi. Waliwataka waji commit kwenye kitu ambacho hawana imani nacho bila hata kupewa nafasi ya kutoa duka duka lao!

Amandla...
Foolish.
 
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.

Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.

Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.

Amandla...
unaongelea CCM naona.
 
Chadema hawataki kukubali kuwa wamekosea, wao kila muda wanajiona wapo sahihi na wanajiona maendeleo ya Tanzania hayawezekani bila wao.

Wanachama wao wa hapa JF wameenda mbali ety Tz itawekwa kwenye vikwazo vya kiuchumi 😂 guys WTF is this
Kwa akili yako unadhani tume huru ya uchaguzi itakuja-kuja tu?.
 
Back
Top Bottom