Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,486
- 4,875
Basi hamia huko.ACT Wazalendo kimejipanga vizuri
Basi hamia huko.ACT Wazalendo kimejipanga vizuri
Hivyo vyama vingine vya upinzani mbona haviungani nje ya cdm ili vifanye hicho unachoamini? Au ni lazima cdm iungane navyo?Kila chama kikuu cha upinzani kilichopata kuwepo Tanzania kilifanya kosa moja kubwa—kuvipuuza vyama vingine vya upinzani kikidhani kwamba kinaweza kuendesha mapambano yake bila msaada wa vyama vingine vya upinzani. Hii “No Reforms, No Elections” campaign ingefanikiwa very easily kama ingebebwa na vyama vyote vya upinzani. Sidhani kama uchaguzi ungefanyika bila ushiriki wa chama chochote cha upinzani.
Kuwa mwanasiasa ni kukubali kiburuzwa, ukiwa hukubali kuburuzwa ww sio mwanasiasa bali ni mwanaharakati😂Ndo maana uchaguzi uliowapa Kura wapinzani nyingi ulikuwa chini ya Ukawa...na Ukawa the brain behind alikuwa Lowassa...kabla ya ukawa hawa kina Lissu walikuwa wanaitukana Sana cuf......na bado hawaoni hasara ya kujifanya wao peke Yao ndo wapinzani.....
Lowassa aliwapa somo kubwa sana alisema "waache kuwa wanaharakati,wawe chama cha siasa" still ukiacha team Mbowe the rest bado wanaharakati kabisa na sio wanasiasa
Waliishaambiwa CCM ina mbinu 1000 za kushinda Uchaguzi Mkuu.Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.
Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.
Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.
Amandla...
Kwahy vyama vingine kutokuwa serious ni kosa la ccm?
Kwahy leo hii ww ukianzisha chama pia Tuseme n CCM B?
USA kuna vyama vingapi na vyama vinavyounda serikali kila mara ni vyama gani?
Kwahy hvy vyama vingine vilianzishwa ili kusapoti hvy vinavyounda serikali kila mara?
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.
Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.
Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.
Amandla...
Hivyo vyama vingine vya upinzani mbona haviungani nje ya cdm ili vifanye hicho unachoamini? Au ni lazima cdm iungane navyo?
Ni kweli hawajajitoa. Na inawezekana kuwa bado sheria inawapa nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi. Kama hiyo ni strategy yao basi watakuwa naive sana. Tangu lini sheria au Mahakama zetu zimewanyima CCM kitu wanachotaka? Wanasahau kuwa kuna wabunge 19 wa "Chadema " ambao wamehudumu term nzima ya 2020-2025 ingawa Chadema iliwafukuza kutoka kwenye chama? Baadhi yao sasa hivi wanafanya campaign za wazi kwa ajili ya CCM ingawa wanahesabiwa Bungeni kuwa ni wawakilishi wa Chadema.Technically, mpaka sasa Chadema hawajajitoa kwenye uchaguzi. Ni zengwe la CCM kupitia tume kuhakikisha kuwa Maza anapita bila kupingwa kama walivyofanya ndani ya vikao yao.
Chadema watumie hii nafasi kwenda Mahakani kuipa kore publicity kampeni ya No Reforms No ElElection.
Tatizo masses wametekwa nyara na mawazo au maoni ya watu wachache bila kuona mtego huo.Chadema hawataki kukubali kuwa wamekosea, wao kila muda wanajiona wapo sahihi na wanajiona maendeleo ya Tanzania hayawezekani bila wao.
Wanachama wao wa hapa JF wameenda mbali ety Tz itawekwa kwenye vikwazo vya kiuchumi 😂 guys WTF is this
Haiwezekani vyama vyote vikawa na mtazamo sawa. Miaka mingi ingepotea kusubiri jambo kama hilo kutokea.Hii “No Reforms, No Elections” campaign ingefanikiwa very easily kama ingebebwa na vyama vyote vya upinzani.
Kazi ipo safari hii.Nimemsikia Mwanasheria mmoja akilalamikia jopo la mawakili wa Lissu. Anasema wale ni watu wa Mbowe na wataihujumu kesi! Wanataka wapewe Team Lissu. Yaani hawamtaki Kibatala mwenye track record ya kesi kama hizi kwa sababu tu alimtetea Mbowe! Uzuri ni kuwa inaelekea wakina Lissu wanawapotezea maana wanalalamika kuwa hawapokei simu zao.
Amandla...
Nilishanga sana bila aibu wanasema wale ni watu wa Mbowe !.Nimemsikia Mwanasheria mmoja akilalamikia jopo la mawakili wa Lissu. Anasema wale ni watu wa Mbowe na wataihujumu kesi! Wanataka wapewe Team Lissu. Yaani hawamtaki Kibatala mwenye track record ya kesi kama hizi kwa sababu tu alimtetea Mbowe! Uzuri ni kuwa inaelekea wakina Lissu wanawapotezea maana wanalalamika kuwa hawapokei simu zao.
Amandla...
CDM wako busy na CCM, sijui walishindwa vipi kuling'amua hili!?Kuna vyama vimeona fursa ya kuchukua nafasi ya chadema baada tu ya kuonyesha hawana mpango na uchaguzi mkuu.
Kuna watu mnapenda kupindua pindua mambo mwonekane wachambuzi wakali kumbe hamnakitu. Yaani wewe huna tofauti na mchambuzi wa mpira ambaye anasubiri mechi imeisha ndio anaanza kuonyesha umahiri wa kuchambua mbinu za mpira kwa timu zilizocheza! Hizo mbinu za CCM za kumtaka Lisu kwa kumsifia Mbowe uliwapa wewe!?Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.
Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.
Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.
Amandla...
Watu wa ovyo kabisa.Nilishanga sana bila aibu wanasema wale ni watu wa Mbowe !.
Lissu na genge lake hawaendi popote iwapo wataendelea na misimamo ya kipuuzi.
Hili ndilo linalo wasumbua. Una criticise bila substance. Mimi nimekuwa nayazungumzia haya hata kabla ya uchaguzi wa CDM kufanyika. Ni mmoja wa waliopinga Mbowe kujiengua. Nilisema wazi na mapema kuwa mambo ya Wenje kutumika kumhonga Lissu yalikuwa ni usanii tu. Baada ya uchaguzi, tulishauri CDM waponye kwanza majeraha. Nimesema kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inatakiwa kuboreshwa. Nimesema kilichotokea Njombe ni dalili ya vindictiveness iliyokuwepo ndani ya CHADEMA na kilipoteza opportunity ya kuponya majeraha. Nime unga mkono msimamo wa G-55. Badala ya kuni challenge kwenye haya unaleta mambo ya mpira!Kuna watu mnapenda kupindua pindua mambo mwonekane wachambuzi wakali kumbe hamnakitu. Yaani wewe huna tofauti na mchambuzi wa mpira ambaye anasubiri mechi imeisha ndio anaanza kuonyesha umahiri wa kuchambua mbinu za mpira kwa timu zilizocheza! Hizo mbinu za CCM za kumtaka Lisu kwa kumsifia Mbowe uliwapa wewe!?
Watu wajinga na waoga kama wewe ndio wanafanya Watanganyika kuonekana hatuna akili. Fikiria tume ngapi zimeundwa huko tulipo toka , kusudi ilikuwa ni kuweka mizania ya kisiasa sawa(Siasa shirikishi, ya Watanganyika wote kuwa na sauti katika maamuzi ya taifa lao.Chadema hawataki kukubali kuwa wamekosea, wao kila muda wanajiona wapo sahihi na wanajiona maendeleo ya Tanzania hayawezekani bila wao.
Wanachama wao wa hapa JF wameenda mbali ety Tz itawekwa kwenye vikwazo vya kiuchumi 😂 guys WTF is this
F. Mchundo, umeandika mengi yasio na msingi. Naona unajifurahisha tu. Uwanja wa Siasa haupo sawa na hili unalifahamu vizuri. Na Watanganyika wa leo sio wa jana. Muda ni Mwalimu mzuri, muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Ukweli na Uongo utajitenga.Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.